Recent content by mjp

  1. M

    Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    Kwan wkt huu kuna issue ipi kubwa sana kuona kwamba nchi inaelekea kuzur kufutwa maadhmsho ya hzo ckukuu au kutengwa hela hzo kwa ajil ya barabara au yy kusafr nje kwa mara ya kwanza kwa kutumia magari? Je umejarbu kuangalia majirani zako au hata ndg zako wanafaidikaje na utawala huu isije kuwa...
  2. M

    Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    Poa km nabwabwaja ila unadhani kuna rais aliyewahi kushika nchi hii hakufuata katiba?Na km hakuna bac ujue Magufuli ataweza na kufanikiwa ila hofu yng n kwamba wote waliapa km alivyoapa yy na ktk katba ileile hebu jaribu kuwaza kdogo shekhe kuendesha nchi co kaz kubwa coz kla ktu kpo kimuongozo...
  3. M

    Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    "WISELY MAN WISELY THINKING" YOU HOT
  4. M

    Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    Kuwa mkubwa sio kuota mavuz na ndevu usikae km unaangalia movie unasubr iishe bali tambua ukitoka ww kuna kizaz chako uendeshwaj wa nchi huwa c wa mtu mmoja au taasisi umma unahusika ww endelea kusoma uwazi na ijumaa wkenda bac huwaz ktk akl yako unasubr kuckia na kupelekwa bla kujitambua hii n...
  5. M

    Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    Uko sahh mkubwa cc huwa tunasheherekea kabla ya sherehe ikija kufka wote tumechoka watabakia wanafki tu
  6. M

    Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda, kutumia usafiri wa gari

    Kwan hapendi kusafr au hakukuwa na hela mbongo gani hapendi kujiacha danganya toto tu hyo au alikuwa anafundshwa u personality kutembelea nchi za watu majaribio n hapa hapa EA kabla ya lembe asijetia aibu akienda
  7. M

    Je, Ni lazima mwanamke afike kileleni kila mnapofanya mapenzi?

    Kwani wingi wa bao au kukaa kifuani sana ni kumfikisha mwanamke au n kujichosha? Mwanaume wa kweli haesabu mabao wala kupumua sana ni akili nyng nguvu kidogo atakuelewa HUWEZI SHINDANA NA ULIKOTOKA huo mpira unavutika tuuuu...na kabla ya hujaanza kipindi kiandae angalia mood zenu kwanza
  8. M

    TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa Vijijini, Sinkala, apata ajali na kufariki

    R.I.P Kamanda Mwenda kijiti kitaendelea kushkwa mapambano km kawa mpk kieleweke
  9. M

    Magufuli: Manufaa ya ziara za nje za Rais Kikwete ni makubwa!

    Anayekuroga anakujua siku zote kanzu ndo mpya ila shekhe n CCM yuleyule,mm huyu mtu Magufuli hata afanye lipi naona anataka sifa tu hana dhati moyoni na hata km anayo haiwezi kuwa na tija coz yy kawekwa na system na hawezi toka nje ya KEY.Ikumbukwe alitukana sana na kulaani safar hzo za nje na...
  10. M

    Hawa ndio Maadui wakuu wa Rais Magufuli na serikali yake!

    Bac km na ww unakumbuka vzur mada yako ungegundua hata Magufuli na yy anatuektiA tu kuwa hataki kutumika na wamarekani wkt muundo mzma na mfumo wa nchi yetu umeasisiwa na Wafadhili hao tunaowaita wanyonyaji.Kfup hata magufuli awe kauzu vp si kwa hawa jamaa hatuwez hata kutengeneza toothpic leo...
  11. M

    Ushauri huu kuhusu Wafadhili serikali imeutoa wapi?

    Hata wao waliandika mikataba ya kupeana misaada sasa kama wamekiuka basi hata wakitunga za kuwabana bado itakuja kutubana coz hakuna anayetekeleza mikataba kiufasaha tatizo serikali haikuwa na mipango na mikataba zaidi ya kuwa na tamaa na ahadi nyng wkt hela za kuomba kutekeleza ilani za chama...
  12. M

    Sakata la MCC vs Uzalendo

    Tusiangalie kuwa kwa MCC au NCHI kipi kilikuwepo kabla ya chenzie ama vp bali ni kuangalia lengo la kuwakutanisha MCC na NCHI yetu lilikuwa ni la maslahi ili kujua nani yupo sahihi tuamue na mh Rais anautendaji mzuri atupe dira isije ikatuathr coz huwezi kumwambia mwanaume mwenzio utampiga sema...
Back
Top Bottom