Sakata la MCC vs Uzalendo

Mar 17, 2016
71
91
Naelewa spirit ya watu wanaotamani nchi yetu ijitegemee lakini nachelea kusema ni uwendawazimu kudhani spirit pekee inaweza kuondoa ukweli kwamba pamoja na juhudi zote za serikali ya awamu ya tano kuminya mianya ya ukwepaji wa kodi(hasa ushuru wa forodha)bado tungali ni tegemezi iwe ni kwa nchi za magharibi au japan na uchina there is no lesser evil wote wapo kwenye kulinda maslahi yao.

Lakini suala la kua na demokrasia ya kweli nadhani ni la maslahi makubwa ya watanzania kuliko ilivyo kwao hivyo hatuwezi kusema kilio cha wazanzibar kuhusu uchaguzi wa mwezi October kilichagizwa na nchi wahisani.

Kila mtanzania asiyesukumwa na unazi wa uchama "he was smelling something fishy" kuhusu uamuzi wa Jecha.

Nimeona baadhi ya watu wakijaribu kulifanya jambo hili ni kipimo cha uzalendo wa mtu anayepinga au kuunga mkono jambo ambalo si sahihi, kwangu naamini tasfiri sahihi ya 'nchi' kuamua mambo yake si watawala bali wananchi hivyo naamini kama ilivyo batili Marekani au nchi nyingine kuingilia mambo yetu ya ndani ( yaliyoamuliwa na wananchi ).

Ni kwa kiasi hicho hicho (labda zaidi ) si sahihi kwa kikundi kidogo cha watu wanajiita watawala au chama cha siasa kudhani wanaweza kuamua jambo zito kinyume na matakwa ya wananchi na pale zinapokuja athari kubwa kwa nchi nzima kudhani they will win public sympathy kwa kujificha kwenye kichaka cha uzalendo!

-Mgeni JamiiForums
 
Naelewa spirit ya watu wanaotamani nchi yetu ijitegemee lakini nachelea kusema ni uwendawazimu kudhani spirit pekee inaweza kuondoa ukweli kwamba pamoja na juhudi zote za serikali ya awamu ya tano kuminya mianya ya ukwepaji wa kodi(hasa ushuru wa forodha)bado tungali ni tegemezi iwe ni kwa nchi za magharibi au japan na uchina there is no lesser evil wote wapo kwenye kulinda maslahi yao .

Lakini suala la kua na demokrasia ya kweli nadhani ni la maslahi makubwa ya watanzania kuliko ilivyo kwao hivyo hatuwezi kusema kilio cha wazanzibar kuhusu uchaguzi wa mwezi October kilichagizwa na nchi wahisani. Kila mtanzania asiyesukumwa na unazi wa uchama "he was smelling something fishy" kuhusu uamuzi wa Jecha.

Nimeona baadhi ya watu wakijaribu kulifanya jambo hili ni kipimo cha uzalendo wa mtu anayepinga au kuunga mkono jambo ambalo si sahihi, kwangu naamini tasfiri sahihi ya 'nchi' kuamua mambo yake si watawala bali wananchi.

hivyo naamini kama ilivyo batili marekani au nchi nyingine kuingilia mambo yetu ya ndani ( yaliyoamuliwa na wananchi ) ni kwa kiasi hichohicho (labda zaidi ) si sahihi kwa kikundi kidogo cha watu wanajiita watawala au chama cha siasa kudhani wanaweza kuamua jambo zito kinyume na matakwa ya wananchi na pale zinapokuja athari kubwa kwa nchi nzima kudhani they will win public sympathy kwa kujificha kwenye kichaka cha uzalendo! -Mgeni Jamii Forum
 
Una point,watanganyika wanahisi wakijitegemea ndio itakuwa dawa ya kuwanyamazisha wazanzibar.
 
Karibu mgeni. Sisi tunasonga mbele. Tanzania ilikwepo kabla ya MCC na utaendelea kuwepo hata baada ya MCC.
 
sizzya007 naamini watu waliomo humu ni watu wazima lakini hata ikitokea hivyo ni changamoto za mijadala....lakini asante kwa onyo kaka
 
Tusiangalie kuwa kwa MCC au NCHI kipi kilikuwepo kabla ya chenzie ama vp bali ni kuangalia lengo la kuwakutanisha MCC na NCHI yetu lilikuwa ni la maslahi ili kujua nani yupo sahihi tuamue na mh Rais anautendaji mzuri atupe dira isije ikatuathr coz huwezi kumwambia mwanaume mwenzio utampiga sema tutapigana...uko vzur umetoa muangalizo
 
Back
Top Bottom