Recent content by mjomba 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa TAZARA muda huu, ambulance nazo zipo

    Pole yao!!!! signature yako kiboko.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kodi hii ipunguzwe

    Tunaumia sana tunategemea mheshimiwa raisi atalifanyia kazi kwa sababu alilizungumza wakati anazindua bunge.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kinondoni: Mhandisi Natty atua Dar es Salaam, ana lundo la nyaraka

    Sasa kama ndio hivyo hii pekuapekua ya vyeti fake wengi wataondoka.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kinondoni: Mhandisi Natty atua Dar es Salaam, ana lundo la nyaraka

    Kwani siku hizi amesilimu anaitwa Daudi Bashite?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Vipi kuhusu gesi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Vipi kuhusu gesi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Si walisema gesi ikfika kinyerezi mgao wa umeme utakuwa historia?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Vipi kuhusu ile ahadi ya gesi? si walisema gesi ikifika Kinyerezi mgao wa umeme utakwisha?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    Sio uhenda ni huenda.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marangu tour: Exploring Africa together!!

    Pistol Thats very good but i think you can specify even the climbing gears charge.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa ya maeneo ya wazi yaendelea leo mtaa wa Basihaya Bunju jijini Dar

    Lakini kama naona bomoabomoa siisikii tena labda zoezi limekwisha.
  12. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba naamini amepata cha kujifunza

    Kitufe cha like sikioni.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa ya maeneo ya wazi yaendelea leo mtaa wa Basihaya Bunju jijini Dar

    Nasikia kuna watu wamejenga ufukweni mwa bahari ndani ya kiwango au eneo lisilotakiwa kujengwa vipi hao nao bomoabomoa itawapitia?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu na Wizara ya Afya lugha gongana

    Alaaa kumbe!!!!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Cannelloni pamoja na nyama ya kusaga

    Jamani mbona tunatoana mate?
Back
Top Bottom