engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,440
Kodi hii inayokatwa ktk mishahara ya wafanyakazi wa umma ipunguzwe imekuwa ni kero.kwa mfano mfanyakazi anapata mshahara wa 1,255,000.00,lakini analipa kodi 232,280. Kodi yote hii inakwenda wapi na inafanya mambo gani ya msingi ambayo yanaonekana ktk macho ya umma?