Niko angani[emoji576][emoji576][emoji576][emoji576] sa hii naelekea [emoji917]Dubai[emoji318][emoji318][emoji318] nikifika nikae chemba niisomee ramani hii kampuni Kama ipo huko nitawajuza soon. So be Updated
Ni mchakato wa kupitishwa au kutokupitishwa kwa mkataba wa uendeshaji wa Bandari za Tanganyika Kati ya Mtawala na Mfanyabiashara wa Uarabuni ndg DUBAI PORT WORLD.
{ DP WORLD}
Je, wanaopinga mkataba huu wanania ipi Kati ya
A. Nzuri
B.Mbaya { }
C. Hawajui walitendalo
Kama nzuri, kwani...
Kwani kwenye chadema hakuna Waislamu , mbona Kuna wanachadema walioko Zanzibar pia . Hapa ni Geographic nature ukiangalia bara dhehebu ambalo ni Dominant ni Christians Zanzibar ni Islamic so kwa vyovyote vile huwezi kukwepa haya mazingira. Huu mikutano ungeandaliwa Zanzibar naamini % kubwa ya...
Sijui kipi hakijaeleweka hapo, Ukishasema kwamba alishawahi kuteuliwa kuwa Waziri kwa vyovyote vile alikuwa ana wajibika kwa aliyemteua . Na kimsingi alikuwa anawajibika kwenye Chama moja kwa moja ili kutekeleza Ilani ya Chama.
Je ni wapi tumeona Mhe, R.Mapuri amekanusha kuwa si mwanachama wa...
Hivi suala la uwepo au kutokuwepo kwa Mungu linahitaji hao Sijui Theists ku prove whether True or Not? God is Always there, and Whatever you look like remember that your an Image of God Himself except of your behavior my Friend.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.