Sasa mtu anakufaje?Mimi siamini kama Kuna KUFA.
Ila naamini KUFUFULIWA.
Nakushangaa wewe unaamini kufa kwani ulishawahi KUFA?mpaka uamini kufa?
Nithibitishie kuwa Kuna KUFA
Uislamu ulianza kabla ya muhammad.tofauti ilikuwa mitume tu.ila kila mtume alikuja kuhuburi Mungu mmoja.ambayo ndio itikadi ya Mungu wa kweli.
Ndo maana uislam unaikubali mitume yote hata wale wayahudi na mataifa mengine
Hizo process anazifanya nani.
Wakati mungu ndo alimuumba Adam na hawa ndo wakazaliana tukatoka sisi .
Kiumbe chochote chenye uhai mfumo wake wa uzazi umetengenezwa na MUNGU.kujamiiana ni NJIA tu.ila yupo aliyetengeneza huo mfumo
acha hizo ngonjera za darasani.
Mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke pekee.hakusababishi kutoka mtoto.
Nani amefanya huo mfumo mpaka mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke vikikutana anatokea mtoto?
😃😃😃.mtume wetu hakujua kusoma Wala kuandika.alafu mbaya zaidi Quran imeshushwa Kwa lugha ya kiarabu.ikiwa na aya za kutosha.muhammad angeweza vipi kukopi?na kujua mambo ya mtoni na peponi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.