Huu Mardi WA mabasi yaendayo kasi bado una changamoto nyingi Sana. Unaweza ukafika kituoni ukasubiri basi kwa muda WA nusu saa nzima na wakati kwa nchi nyingine kila baada ya dk 5 basi linakuja.
Halafu sasa, yupo driver mmoja and roho mbaya Sana, hebu fikiri ,anafunga milAngo haraka haraka ili...
Rafiki yangu; c lazima jimbo likichukuliwa na upinzani basi ndo utaona maendeleo!! Hiyo LINDI mjini ina mbunge wa CUF lkn hakuna hata kitu kimoja huyu jamaa amefanya!! Ametajirika tu yeye na familia yake huku akimtelekeza mke wa ujana wake na kuoa Dr.mmoja hivi!! Yaani Lindi zero zero ni sawa na...
Wewe cyo mstaarabu hata kidogo!! Unaudhihirishia umma unaokusoma jinsi ulivyo bota!! Maandishi yako yanaonesha wewe ulipata zero form four!!! Km basi ulifika!!!
Duh; nafikiri wewe uliyeandika hii thread ndo boya tena boya la mwisho!! Huyo Dr. Unavyomchukulia wewe cvyo ambavyo wengine tunamchukulia!! Ni kwa sababu humjui ndo sababu umeamua kuandika pumba!! Nikwambie kitu; " wastara hasumbuki; wa mbili havai moja".!!!
Chadema siku zote hawana Sera wala majibu; wakiulizwa wamefanya nini wanaanza kuiponda CCM!! Ni shidah sana kuwa na Chama kama hiki kama Chama kikuu cha upinzani!!! Ni bahati mbaya sana !!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.