The most powerful person in this country

Jeetu Patel......

ni architect wa EPA na bado yupo uraiani anadunda na anaendelea kuwakilisha. kama kawaida wabongo wamesema na sasa wamesahau wote habari ni madaktari....Jeetu anakula raha za dunia.

Akiwa anakabiliwa na kesi ya EPA pale Kisutu, serikali ikampa tenda ya kuleta matrekta kwa ajili ya Kilimo kwanza. Yaani Patel anaweza ku-control nchi hata akiwa jela, amini usiamini.
 
Nyerere alikuwa na bahati kutawala zama za chama kimoja, nani aliyekuwa na ubavu wa kumkosoa? Wengi waliompinga aliwaweka ndani, halafu wasema powerful person! Alikuwa dikteta tu!

Huwezi kuwa legelege kisha ukawa Dikteta! Lazima uwe powerful kwanza ndio uendeshe udikteta.
 
UMELONGA SWA MZEE WA SHOKA. mauaji ya sharplavile kule Saouth africa mwaka 1964, ni kuwa wasauth africa walipinga kupigwa marufuku kiingereza kufundishwa mashuleni. mwaka 1967 nyerere alifuta kiingereza mashuleni na hakuna hata mtu mmoja aliyepinga makosa yake hayo. huo ndio umaarufu wa kumsifia?

wenzetu waliona mbali na leo hii kazi zao za nyumbani hazinyang'anywi na wazimbabwe wala wazambia kwa sababu ya kuongea Lugha. sisi tunayemtukuza nyerere mbona hatulalamikia hili la kiingereza kutunyima kazi za kimataifa hapa nyumbani petu? nyerere huwezi kumuita mtu maarufu kwa sababu ya kutawala wajinga.

Katika utawala wake hatukuwa na TV wala kuona habari za kimataifa wala soka la dunia. huu umaruufu unaomtukuza utakusaidia nini kama nyerere hakukupenda kiasi hicho?

Mhh, kuongea kiingereza tuu? Do you have sense!?
 
Nadhani cha muhimu ni kwamba lengo lake la kupiga marufuku kiingereza limefanikiwa.
 
FIRST AGENDA
He used to be His excellence, The Late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, He was powerful in every aspect, He could change all kinds of local Political waves despite of their sizes, and his interests always prevailed. This was true during his time as the president of this country and during the times of his life out of the white house.

I do not want to examine whether his mighty has gone with him or not, but I know since then, the most powerful person in this
country has never been the President or ex president.

I have an idea, but I would prefer to be the hearer first.

My comrade JF members, share the idea with me, who could be the most powerful person in this country,in our current time, TO BE MORE SPECIFIC, WHO HAS THE MIGHTY TO WANT SOMETHING HAPPEN AND YES, IT HAPPEN. IN THIS COUNTRY.

SECOND AGENDA

While we are still figuring out who could this person be, We may go a step ahead and share where could this guy derive his/her power from? and what use does he make of his power now?

The History of this world is telling that, the most powerful persons in the world long standing history derived their power from
1. Love
2. Wealth
3. Education and
4. Militry.

The powerful people in the democratic world are expected to be deriving their power from people, Lets continue.

Andrew Chenge. Kwanza kabisa ana vijisenti kwenye kisiwa cha Jersey. Pamoja na hayoa kufahamika akateuliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti kabla hajateuliwa tena kama siyo kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa BMK ambapo alitetea kila aina ya ufisadi. Amehusika kwenye sakata la escrow Na kama siyo panga la spika alikuwa tayari kuendelea kuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti kibabe. Kwa msingi huo.kwangu mimi ni powerful.
 
...mleta mada count the leading five guys,weka poll and lets vote 4 them...
 
In present day Tanzania, a person as powerful as Nyerere used to be is non-existent. Nyerere derived his power from his love for the people of this country, his selflessness, honesty, simplicity and high level of integrity.
 
Back
Top Bottom