Recent content by mjengwa-halifa

  1. M

    On Point: Bunge Lisiposimamiwa na Chombo Chochote Linakuwa La Kiimla

    Naona kwa makusudi kabisa Mwanakijiji hutaki kuangalia haki ya Bunge kuingiliwa. Unajenga hoja kwamba kuingiliwa kwa Bunge na mahakama ni sawa kwa sababu bunge limevuka mipaka. Mipaka ipi bunge limevuka, sheria gani bunge limevunja? Kama mahakama ilikuwa inajua na kuheshimu Bunge na katiba...
  2. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu, Hasante sana kwa maangalizo yako. hilo eneo la maji na gharama za umeme ni maeneo ambayo sijapata taharifa za kutosha. Hayo yalikuwa makisio kutoka kwa watalaamu "kiboko.co.tz". Tena na wao walikosea kwenye bei ya ndoo moja ya maji. Beo yao waliweka ni TZS 50 wakati kuna mdau mwingine...
  3. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu Pachanya, Hasante kwa mchango wako, hii inaongeza matumaini kwamba inawezekana kufanya hii biashara na ukapata faida. Na kama ulivyosema kuhusu "Kumbuka kuku wengi hupunguza gharama". Katika hili la kuku wengi na kupunguza gharama ndio eneo ambalo linahitaji majaribio zaidi au michango...
  4. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nilipitiwa, huu ni mchanganuo wa kuku wa NYAMA (Broiler)
  5. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Habari wandugu: Nimejaribu kufuatilia mjadala toka mwanzo, lakini nikiri kwamba kuna uwezekano mkubwa kuna pages sijasoma. Nimekuwa na hamu ya kuanza hii shughuli ya ufugaji wa kuku wa kisasa wa NYAMA. Na kwa msaada wenu nimeweza kuchanganua kwa kadri niliyoweza na data nilizozipata humu na...
  6. M

    Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

    utani mwingine bwana, hahah sina mbavu
  7. M

    Amiri Jeshi Mkuu anawafahamu na hawa?- France 24 documentary kuhusu madaya ya kulevya Tanzania

    REPORTERS - Tanzania, a fix in Paradise - France 24
  8. M

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Da, kwanza hasanteni sana wote kwa michango yenu. Nimesoma toka mwanzo paka hapa nilipokutana na hii statement ya Findi Mchundo kusema kwamba sasa amekwishakuwa mtu mzima. Kwa kweli hamu yote ya kujenga nyumba imeniishia Kwa maana nilikuwa naenda nasoma nikitegemea nitakuta namba yako ya simu...
  9. M

    PENDEKEZO LA WASTANI: Tusiishie kutengana kwenye kuchinja; tutengane kwa kila kitu...

    Najaribu kuchokoza mada tu, Kwa nini Serikali imemwacha Wasira akisambaza chuki bila kumchukulia hatua yoyote? Nikutumia logic ya jibu lako hapo juu, je serikali wasifanye lolote pia kwa huyu Sheikh na uchochezi wake labda wa makusudi au wa ujinga (bila yeye kujua)? Watuachie wenyewe sisi kina...
  10. M

    The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

    The debate is now live
  11. M

    The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

    Kenya Election 2013 - YouTube
  12. M

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Kuna mengi ya kujifunza katika hii mada, hasante wachangijai na muanzishaji. Hapo juu umesema kuna waongo ni kina nani na uwongo wao ni upi? Dhumuni la swali langu ni mambo mawili nahisi labda maswali yako kwa Mohamedi Said tayari yalikuwa yamejengwa katika dhana kwamba ni muongo au kwamba...
  13. M

    Ridhiwani kaenda Ukerewe?

    Ni hii biashara ya key za piano? Ndicho sicho huwa ndicho. Otherwise hii ni zile za Shigongo na mashimo ya mfalme Suleiman.
  14. M

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Swadakta, nakubaliana na wewe kabisa, kama wanaweza kutoa passport kwa baadhi ya watanzania ambao faida zake wote tunaziona kwa nini tushindwe kuruhusu dual citizenship? Hawa wanaopinga paka dakika hii wao wanapinga tu lakini hawaleti hoja za mashiko za kwa nini wanapinga.
Back
Top Bottom