Recent content by Mjela

  1. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Safi sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA ya Dr Slaa INGESHINDWA kwa 10%-, UKAWA ya Lowassa ITASHINDA kwa 68%+

    hesabu unajua kweli wewe? Rudi form two
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Dr, ni mtu makini na sio mfuata upepo si wa kuburuzwa na ndio maana ni Doctor,subiri kiama......
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Dr,Slaa ni mtu makini najua atafanya maamuzi makini
  5. M

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    Huyo mzee wako alikuwa mfuko gani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wa pikipiki waporwa bunduki 2 kwa kushikiwa kisu

    Viongozi wa hili Jeshi lijitazame upya waache siasa,haiwezekani chombo kama hiki kinaporwa silaha kirahisi tena watu wanatumia visu kupora SMG? Is it?inawezekana tatizo lipo wapi? Mbinu wanazozitumia kufundishia Mafunzo ya awali inawezekana zimepitwa na wakati au hazieleweki?
  7. M

    JamiiForums Tanzania NHC ni bomu litalolipuka ndani ya miaka miwili hadi mitano

    Kwan mradi wa pongwe city nao ni wa NHC acha kukurupuka,ninavyojua mradi ule ni wa Halmashauri ya jiji la Tanga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mchechu wa NHC aundiwa zengwe

    Daaa watu wana zengwe daa haya someni link hiyo iliyotoka leo http://www.nhctz.com/kit/Press_release2.pdf
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete aanika utajiri wake: Azungumzia urais 2015, uhusiano wake na Membe, Lowassa

    Kila kitu Ridhiwani jamani mbona tunampa kichwa huyu jamaa? Kama ni mali zake wewe kinakuuma nini? Na wewe is utafute za kwako?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mfungwa Sajini Rhoda Robert aliyemwua mtoto wa Fundikira amefariki dunia akisubiri kunyongwa

    hivi mara ya mwisho kufanyiwa marekebisho ni mwaka gani?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

    ufinyu wa kufikiri
  12. M

    JamiiForums Tanzania JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

    Nimefuatilia kwenye tovuti ya JKT na nimepitia jina moja baada ya jingine kwa wanafunzi walioteuliwa kwenda JKT OLJORO awamu ya kwanza sijaona jina la HONORATUS UISO hivyo labda anajina lingine, Hivyo basi mtoa mada tuambie hilo jina. Au hizo taarifa umezitoa wapi? Ili uwe mzalendo na nchi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza Idara ya Uhamiaji

    Hiyo interview ya nafasi gani mtoa mada ambayo inafanyika kurasini?oral interview inafanyika chuo cha maafisa magereza ukonga na sijaona kitu kama hicho unachosema.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Updates on Oral Interview PPF

    endelea kusubiri tutakujulisha
Back
Top Bottom