Mkuu RRU si kwa ajili ya ugaidi tu ni kwa ajili ya maafa ya aina nyingi. Mara nyingi mazingira na matukio ndiyo huwalazimisha kujenga vitengo hivyo. Hebu tujifunze katika maafa yaliowahi kutokea nyuma kama mafuriko, ajali ya treni na kadhalika.Baada ya matukio ripoti zimeandikwa zikiwa na...
Kuna mtoto wa shule ya awali (chekechea) moja mjini Mwanza naye alikuwa anautamani. Aliyasema hayo katika kipindi kimoja cha televisheni cha watoto mwaka 2009!!!!Hivyo si jambo la ajabu kutamani cheo hicho kikubwa hapa nchini mwetu :whistle:
mugayasida, wewe unashida sana, huyu yeye anataka habari/information/detail au vinavyofafana na hivyo, hivi ni vitu ambavyo kamwe hutaweza kuvipata kwa kufikiria. Ni lazima usome au usikie au uone ndiyo uvijue. Na sehemu sahihi sana utakayo pata ni maktaba, na ukubwa/urahisi wa maktaba ndiyo...
Nyanidume ishu hapa si 10+10. Ishu ni hizo 10 nini? na kwa nini + na isiwe -. Lakini kwa ishu ya 10+10 kama una kikokotozi karibu unatumia tu unasave akili itumike kwa kazi nyingine
Mkuu kwani mlikuwa na uadui? Mbona kama umefurahia kifo chake? Mkuu tofauti za itikadi za vyama haziko hivyo. Ule ni uhai wa mtu tuuheshimu hata kama tuko tofauti kwenye itikadi
Kamanda Gogle, Hakuna situation ambayo ni ya kudumu katika siasa. Situations zinatengenezwa na wanasiasa hivyo ni wao pia wa kuamua nani awe kimba au nani awe lulu. Leo mwanasiasa fulani naweza kuonekana lulu kesho akawa kimba au kinyume chake . Wanasiasa wenyewe ndiyo wanaoamua, wengine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.