Kiongozi aliyefanya mapinduzi ya kijeshi mara mbili

Kiongozi aliyefanya mapinduzi ya kijeshi mara mbili

Da sasa mtu hata kutype kwenye google ikakupa data unaona uvivu....do

Acha uvivu wewe jaribu japo kuishughulisha akili yako, ndomana hata hesab zinakugomba, 10+10= unakimbilia kikokotoo!
 
Mimi na google google na mimi. Nimejifunza mambo mengi sana kupitia google hasa hasa magonjwa ya watoto ya kila siku na jinsi ya kuyaepuka.
Napenda sana watu watumie akili zao na kuacha utegemezi wa google and the like lakini katika hili nitapingana na wewe!
Jambo analoulizia ni taarifa, hauwezi ukapata taarifa kwa kufikiria! Fikra zinatumika katika uvumbuzi wa kanuni mpya, utatuzi wa matatizo, uchambuzi wa taaarifa n.k! Google kwa leo ni sawa na kwenda maktaba enzi zile.
 
Denis Sasongweso wa Kongo.
Obasanjo hajawahi pindua, mara ya kwanza aliteuliwa kumrithi Murtara Mohamed, baada ya jaribio la mapinduzi kushindikana.
Mara ya 2, kaingia kwa kura.
 
Da sasa mtu hata kutype kwenye google ikakupa data unaona uvivu....do

Huyu kwa uvivu huu inawezekana kabisa hata akiwa na mbwa huyo mbwa nae atakuwa mvivu hadi kubweka anasubiri mbwa wa jirani abweke nae anasema me too! Na huyu jamaa nae kumgombeza mbwa atasubiri hadi jirani amgombeze mbwa wake nae aseme me too! Huu ni uvivu uliokithiri
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Naomba anayefahamu jina na nchi anakotokea kiongozi aliyewahi kufanya mapinduzi ya kijeshi mara mbili... (Nahisi kama ni kutoka nchi za amerika kusini but sina uhakika wala details).. Anayemfahamu tafadhali anidetail
Generali Benjamin Juma pamoja na Kanali Ike Dubaku wa Sangala
 
Comoro yupo kaishafanya mara 4.
 
Comoro yupo kaishafanya mara 4.

Kasema na jina wewe kijana wa Lumumba.

Vijana wa Lumumba mjifunze kusoma maelezo vizuri kabla ya kuchangia,au mpaka uone jina kubwa Dr Slaa ndio akili yako inafanya kazi kwasababu unajua kuna buku 7?
 
Acha uvivu wewe jaribu japo kuishughulisha akili yako, ndomana hata hesab zinakugomba, 10+10= unakimbilia kikokotoo!
Nyanidume ishu hapa si 10+10. Ishu ni hizo 10 nini? na kwa nini + na isiwe -. Lakini kwa ishu ya 10+10 kama una kikokotozi karibu unatumia tu unasave akili itumike kwa kazi nyingine
 
Kwahiyo hata ukiambiwa huyu ni baba yako wewe unaenda kumgoogle kama ndio yeye sio?Mbona watanzania mmekuwa wavivu kufikiri kiasi hicho au shule ya ugoko nini?
mugayasida, wewe unashida sana, huyu yeye anataka habari/information/detail au vinavyofafana na hivyo, hivi ni vitu ambavyo kamwe hutaweza kuvipata kwa kufikiria. Ni lazima usome au usikie au uone ndiyo uvijue. Na sehemu sahihi sana utakayo pata ni maktaba, na ukubwa/urahisi wa maktaba ndiyo utakufanya upate information zilizobora zaidi na jibu la hilo ni Google tu..... Kama ukiona kuna habari/information/detail ambayo mtu kafikiria ujue hiyo inahusu CDM au CCM au CUF au umbea wa mitaani:whistle:
 
Back
Top Bottom