Recent content by Mjawiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mauzauza ya mke wangu

    Tembea na huyo fanyakazi mpk yeye mwenyewe ajue
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

    Hongera UKAWA na maalim Seif
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Waziri mkuu alllikua chini ya nani(boss wa waziri mkuu ni nani) je escroo pia ni lowasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Familia inakosa hata sufuria ya kupikia ugali,kweli?

    Haohao walio ktk hali ngumu ya maisha wao ndo wakwanza kuipigia ccm wanashindwa kusema ebu tuangalie upande wa pili wa shilingi utakuwaj
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    ila sio kila kitu cha kichina ni FEKI itategemea mkataba walioingia kutengeneza bas lenye umaghubuti gani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kagame abuni mkakati kurejea DRC kuwasaidia M23

    Kiushabik napinga alichokiongea nicha ukweli kuondolew kw kagame ila sinjia za kam irak,libya,misri,tunis hapana zitumike njia za kidplomasia nahadi mfahamu kagame na museven wanatumiliwa na wazungu(I mean usa nanchi nyengine zipendazo vita)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Kikwete, ni watu wachache tu ndiyo watakuelewa juu ya Usuluhishi na Kagame

    Hata mim naukuunga mkono kumpongeza kikwete,napia ukiacha uzalendo kikwete hakufanya baya kumshauri alikua au kubali au akatae lakin hii inatoa funzo kwetu kuwa majirani zetu siwatu wema mana wangalimwita kagame na kumwambie sivo hivo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini si muumini wa Serikali Tatu...

    Hueleweki,kam kweli mwatubeba kip mnachongangania serikali MOJA minaona ili kuthibitisha usemi wenu wakutubeba vunjeni MUUNGANO nasis tushaanza kupitia AMAN KARUME Nyinyi malizeni,tafuta mtu akusomeshe ukoloni
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM yamvua uanachama Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansoor Yussuf Himid

    Mansuur ni shujaa nawana ccm znz jueni kua ccm sio chama bali ni machinjii ya waznz,mbona madiwani hawakufukuzwa,HONGERA MANSUUR KW UZALENDI ZANZIBAR KWANZA CCM BAADAE NI ASASI TU INAMWANZO NA MWISHO
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi amfumania mkewe live miezi 3 tu baada ya ndoa

    Mpe pole lakini baada yakuandikisha alikua atoe displin ili atoe hasira ili kuondoa sumu pia afkirie je alimkuta bikra
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe ataiua bandari kama ilivyokufa reli

    Bandari haihitaj Advataiz kinachohitajika ni utendaji mzuri uaminifu kwa wateja,kusiwe na usumbuf,chekpoint za tranzit zisiwe nyingi,trafik,tigo,difenda wasishulike namizigo ya tranzit,urasimu wa kastam na tra uwe haupo,kod zisizo na msing ziepukike hizo ndo advataiz,NAMSHANGAA S.SITA asema...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mansoor Himid kufukuzwa uanachana wa CCM Z'bar

    CHOMBO ahofia kukosa tonge,ila rudi kw Allah ndie anaetoa rizk nasio CCM
  13. M

    JamiiForums Tanzania Butiku: Ningejua CCM itaingilia mchakato wa Katiba nisingeshiriki

    Kudai mamlaka kamili ni UWAMSHO mim nasema wanaoungana ndo wanaovunja si ajab/sikioja muungano kuvunjika tushachoka kunyonywa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar - serikali tatu okay, serikali mbili ni ghali

    Songoro ukisikia kivuli chenyewe ndo hicho mznz bar apiga kura bara ila serekali ya znz haiwez KUPOKEA,KUOMBA MSAADA BILA TANGANYIKA KUTOA RUHUSA,JE UMEMKUTA WAZIRI ZNZ AKITIA SAINI MKATABA WA KUMATAIFA,naandik msg hii binafsi namiliki nyumba Mozambiq je TUMEUNGANA JENGA HOJA SONGORO waznz tuko...
Back
Top Bottom