Recent content by mjasiria

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana tatizo la kupenda au kuvutika na same sex, tumsaidieje?

    Weka ishu nzima basi
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Hujajibu swali lakini. Kama haviripotiwi wewe unajuaje kama vipo?
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Sasa kama hawaripoti wewe unazijuaje?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Takwimu zilizopo ni hizi za nchi kubwa kubwa. Unaweza kutafuta hata wewe mwenyewe utajionea. Kwa nchi maskini kama zetu kwa kweli sina ila bado ninaamini watoto wako salama zaidi. Mwaka 1990 mtoto alikuwa anaweza kubakwa Morogoro na watu wa Dar wasijue ila leo hadi Bukoba huko watajua tena...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

    Haya mambo yalikuwepo sana tu toka zamani sema siku hizi inaonekana kama yamezidi kwa sababu taarifa zinasambaa kwa kasi sana. Kitakwimu watoto wako salama zaidi leo kuliko wakati mwingine wowote.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atishia kuteua Mkuu wa Magereza kutoka JWTZ

    Anataka akikuchagua leo, kesho uanze mikwara kwenye vyombo vya habari.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atishia kuteua Mkuu wa Magereza kutoka JWTZ

    "PESA ZANGU"
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Natamani kweli ila sina hela ya lodge baby" Hili jibu K sana yaani konki

    Wanalipia 😁😁
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Natamani kweli ila sina hela ya lodge baby" Hili jibu K sana yaani konki

    Ila lengo si limefikiwa? Nyege zineshakatwa, tatizo nini mwalimu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Sikulima si unaona kama hivi hakuna elimu ya kutosha.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa kaka hataki kunifulia

    Fungua kisanduku tutete, hapa wanga wengi sana.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa kaka hataki kunifulia

    Sikuenjoy bana. Fanya uje au ghafla Sana?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa kaka hataki kunifulia

    Hebu leo ukuje kwenye ile outing rafiki.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rukwa, Sumbawanga: Kiumbe hai cha ajabu chaonekana

    Hii imekaa kama chai hivi
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Busu na Kumbatio la Mwanaume huyu limenifanya Nichanganyikiwe

    Maneno si ndo haya sasa😎. Subiri mualiko tu.
Back
Top Bottom