Dalili kuwa mtoto wako anatumika kingono

Nyuzi za hivi huwa nikiziona napatwa na simanzi sana, nina mengi ya kushare ila basi tu.

WATOTO WETU HAWAPO SALAMA KABISAAAAAAAAA.
TUAMKE, TUCHUKUE HATUA.
SHARE TUJIFUNZE!!

utaokoa WENGI!
VIPO vitu tunafanya tunaamini WE ARE OKEY!!

kumbe sivyo!
 
Wazee wa zamani walikuwa washenzi sana. Mila za kipuuzi. Mtoto akivunja ungo tu anapewa mume. Shenzy kabisa.

Hata Bikra Maria aliozwa kwa mgane mzee Joseph akiwa mbichi. Rika hilo hilo la miaka 9-13. Bahati nzuri tu hakuingiliwa kwa vile Mungu alikuwa na mpango nae maalum.

Sasa imagine enzi hizo ni vibinti vingapi vimeliwa na vibabu vikiwa bado vibichi tena na mila zikiruhusu kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Haupo sawa mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yalikuwepo sana tu toka zamani sema siku hizi inaonekana kama yamezidi kwa sababu taarifa zinasambaa kwa kasi sana. Kitakwimu watoto wako salama zaidi leo kuliko wakati mwingine wowote.
Takwimu zipi? Hebu tuzione.
Huenda upo sahihi. Thibitisha tu twende sawa.
 
Takwimu zipi? Hebu tuzione.
Huenda upo sahihi. Thibitisha tu twende sawa.
Unajua hata theories zinakubaliana na madai ya jamaa?

Kwa mtindo ya kwamba hiyo zamani sheria za kumlinda mtoto hazikuepo.

Haki za mtoto hazikua established.

Hakukua na taasisi za kutetea watoto.

Media, mawasiliano na intaneti havikuepo.

Ikitokea atakuja na takwimu zinazosapoti madai yake sitashangazwa.
 
Yes, nami naamini yuko sahihi kwa theory hizo. Yaani it is imaginably compeling..

Ila kwa sababu amesema kitakwimu, ni vyema akaziwasilisha kama anazo kwa maslahi mapana ya jamvi letu. Wapo watu wanakusanya data humu for academic purposes.
 
Takwimu zilizopo ni hizi za nchi kubwa kubwa. Unaweza kutafuta hata wewe mwenyewe utajionea. Kwa nchi maskini kama zetu kwa kweli sina ila bado ninaamini watoto wako salama zaidi.

Mwaka 1990 mtoto alikuwa anaweza kubakwa Morogoro na watu wa Dar wasijue ila leo hadi Bukoba huko watajua tena dakika hiyohiyo. Uharaka huu wa taarifa unafanya watu kuwa na taarifa za matukio mabaya yanayotokea kwenye eneo kubwa sana (na pengine dunia nzima). Ukizingatia kwa jinsi binadamu tulivyo (tunavutiwa zaidi na habari mbaya) hupelekea tuwe na hisia kwamba dunia si salama tena, kwamba mauaji yameongezeka! Wakati kwa asilimia, watu wengi zaidi wameuawa karne 2 zilizopita kuliko karne hii tena kwa tofauti kubwa sana.
 
Kaka hiki ulichosema kina mantiki lakini bado sio takwimu. Kwa vile umesema huna takwimu, basi nimekuelewa.

Kimsingi, hili jambo linahitaji kufanyiwa utafiti ili kupunguza hofu. Watu wengi ikiwemo aliyeanzisha mada hii wanainspire fear kwa kuaminisha watu (indirectly) kwamba watoto hawapo salama. Zikifanyika tafiti na matokeo yake yakisambazwa, itasaidia kuhamasisha amani kuliko haya makemeo.

Just thinking.
 
Duuuuh asee mpaka nahisi ntaua mtu, kabinti kangu kana miaka 2 kanazo izo dalili namba 5, 6, na 7
 
Watu wengi tunachukizwa na sexual abuse lakini wengi hatujui sexual abuse ni matendo ya namna gani (Sijasema Wote)

Mfano wengi tunadhani kumuingilia mtoto ndiyo sexual abuse, huo ni ubakaji/ ulawiti sexual abuse ni minor things ambazo zingine huwezi kuzidhania.

Mfano kumshika shika mtoto nyeti zake. Kumpa nyeti zako mtoto azishike.
Kumpa koments za kingono. Kumpakata. Kumtumia kama sehemu ya kujiridhisha wewe kingono.

Hivyo hata ukawafanya watoto wasex wewe ukawa pembeni unapiga puchu inaangukia kwenye sexual abuse.

Zipo nyingi na kiukweli nyingine unashindwa jua kama muda huu hii ni sexual abuse ama la. Mfano kupakata na kushika nyeti watoto.

Elimu itolewe kwa wote.
 
Hivi inawezekana kweli mwanaume miaka 20 udake kitoto cha miaka 6 ulale nacho?

au mleta thread unasema wale vitoto vya miaka 6 vya kiume vinalala na visichana vya miaka 4?
 
Watoto wengi wanapitia hali hii hasa kwenye familia za uswahili nyumba moja wanaishi watu kibao au hata nyumba za kawaida umejaza wajomba bamdogo binamu hausi gel aya mambo ni ya kawaida bahati mbaya hata hizo dalili unaweza usione.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yalikuwepo sana tu toka zamani sema siku hizi inaonekana kama yamezidi kwa sababu taarifa zinasambaa kwa kasi sana. Kitakwimu watoto wako salama zaidi leo kuliko wakati mwingine wowote.
NINA TAARIFA TOFAUTI KWAKO!

ZAMANI HALI ILIKUWA MBAYA YES!!

Kina MAUMBA NA WENGINE!

BUT HIVI SASA NI WORSE ZAIDI!

MAANA SASA WATOTO HAWAKO SALAMA KWA WAKUBWA WALA WATOTO WENZAO!
 
Hivi inawezekana kweli mwanaume miaka 20 udake kitoto cha miaka 6 ulale nacho?

au mleta thread unasema wale vitoto vya miaka 6 vya kiume vinalala na visichana vya miaka 4?
NINA CASE ZA WATOTO WA MIAKA MIWILI WANAOLAWITIWA NA KUBAKWA!!

KUNA CASE ZA WABABA KUNYONYESHA WATOTO WAO UUME?
OBVIOUS HAO NI WATOTO RIKA LA KUNYONYA!!

NINA CASE ZA WATOTO WANAONYONYESHWA NYUCHI NA WASI HANA WAO WA KAZI!

how about that mkuu?

WA KIKE NA WA KIUME!!
 
Watoto wengi wanapitia hali hii hasa kwenye familia za uswahili nyumba moja wanaishi watu kibao au hata nyumba za kawaida umejaza wajomba bamdogo binamu hausi gel aya mambo ni ya kawaida bahati mbaya hata hizo dalili unaweza usione.

Sent using Jamii Forums mobile app
BAHATI MBAYA ZAIDI HATA HAO WASIO USWAHILI NAO HAWAJAPONA KWENYE HILI!

ANKO WA GARI LA SHULE!!
WALIMU WA TUITION ZA NYUMBANI!!
HOUSEGALS/HOUSEBOYS
WENYEWE KWA WENYEWE
SHULE ZA BWENI ZA GHARAMA TU, NA HAWARIPOTI HIZI CASE WANAHOFIA KUHARIBU BIASHARA!!
 
Sasa kama hawaripoti wewe unazijuaje?
 
Back
Top Bottom