Anachohitaji sasa huyo binti ni hakikisho la usalama wake binafsi na upendo wake.
Kutafuta haki ni sawa lakini haibadilishi chochote zaidi ya kulipiza kisasi.
kama unampenda tangaza nia, fuata njia sahihi, oa kwa utaratibu unaokubalika ili umfanye kuwa na uhakika na uhalali wa mahusiano. kuzaa...
Nchi yangu, Tanzania yangu, tunalalamikiana hatuna UZALENDO, ila anapojitokeza mzalendo halisi anakandamizwa na kufanywa kafara. Alafu kila siku politisiani wanataka vijana wawe wazalendo kweli!
Pathetic Comment! people are discussing the future of Multiparty Democracy and heart of the nation, you bring in story za udaku!
Kuna tofauti kubwa sana hapa, mtu kama Mghwira, aliyepita kutushawishi na kutuhaminisha kuwa yeye na chama chake ndio waliokuwa na sera nzuri ambazo zingeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.