Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 920
- 2,635
Tatizo la Nchi hii ni mshahara. Aki mama mghwira na kitila wameona mshahara ulio mbele yao wakaona liwalo na liwe. Nitaendelea kumuheshimu ZZK kwanza kama mpiganaji aliyeweza kuunda chama na nadani ya muda mfupi akachaguliwa kuwa mbunge,ana sifa za pekee kijana yule.Sisi ACT tukipata fursa ya kueatumikia wananchi tunawatumikia kea kwenda mbele . Aidha, tunakuwa viongozi wa mfano ili wengine waige.