Hakuna wazanzibar wanaozaliwa na kubinywa vichwa hata mmoja uo ni uzushi tu mtoa mada hana la kusema tu akatafute nauli akawatembelee wazee kijijini kwao naona ni mda mrefu sasa tangu umeondoka kuja Dar.
nafkiria unaongea kwa hisia sana,kila sehem watu wanazaliwa kutokana na maumbile yao ,asilimia kubwa ya wazanzibar wanazaliwa wakiwa hawana vichogo ila kwa watu wa bara wnazaliwa wakiwa na vichogo ,zamani ukiwa ukitaka kumtofautisha mtu wa bara na zanzibar basi kwanza ulikua unaangalia vichogo...
mapico naheshimu sana mawazo yako kaka ila kwa hili la zanzibar kuhusu kuwatesa wakiristo kipindi cha mfungo sio kweli,kuna maeneo maalum yamewekwa kwa ajili ya watu kupata chakula ,kula hadharani kwa watu waliofunga ambao asilimia 98% ni waislam hii ni kuwadhihaki na kutoiheshim imani yao...
sio kweli,wagombea wa ACT wote walikua CUF kutakua na kasoro nyengine tu sio elimu ,alafu jamani tuwe makini tuchague kauli za kutumia ukisema wengi wana elimu za madrasa unakua unaingiza udini ndani yake madrasa ni sehemu ambayo watoto au jamii ya kiislam inaitumia kwa ajili ya kuwafahamisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.