Mimi huwa najiuliza sana Ustawi wa Jamii ni kwa ajili ya kushughulikia masuala ya talaka na ustawi wa watoto tu au? Maana siwasikii wakishughulikia matatizo kama haya (Sijui lakini inawezekana uelewa wangu ni mdogo)
Mkuu......... ulishawahi kusikia usemi usemao .... Mchumia janga ....".... Pole bana we ulijua kuwa huyo ni mke wa mtu..... ulipaswa kukaa mbali au (to be a wise enough in a foolish way)... to just piga once, twice or thrice and run shaaaaa..... next time be wise joorr (In Nigerian voice).
"acheni jamani watu tunapitia shida sana hapa Tanzania duh"................. Akhiii hii statement imenifanya nimecheka kwa nguvu sana. Dah. Pole sana Mkuu
Yaani ni shida.... hatukatai viongozi wa dini wanasaidia but ehy wanasubiri mambo yaharibike ndio watoe matamko? Hakuna namna wanawezazuia kabla ya damage?
Yaani hii ni ishara kubwa kuwa Jiwe alikuwa amekamata kor....i za wengi. Hivi sasa anageuza kibao (Yes anatetea but why the sudden change/turning around?? Pamoja na kuwa anatetea but UAMINIFU aka TRUST ukishaivunja ONCE kuirudisha kama ilivyokuwa mwanzo ni ngumu sana. What if akatokea JIWE au...
Mkuu when it comes to the matters of the hearts...........Dah aya mambo jamani. Wengi sana wanaishi kimazoea na kuishia kuugulia tu maumivu.........Bado namuulizia uyu fate.......yupo kweli?? maana kwa rates za divorce, magomvi, separations, divorced na hata kuuana inazidi kuongezeka........huyu...
Ahsante sana Mkuu...
Hapa najifunza kuwa muda ni muhimu sana katika kufahamiana, Fate what if unaangukia mikononi mwa wale wale...... Is it fate au ni maamuzi tu?
Yaani mimi sielewi kama kuna kitu kinaitwa na kuaminiwa kuwa fate. Eti kila ukiingia kwenye mahusiano wewe unafall kwa wapigaji...
Wakuu nawaamkua.
Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu.
Ninakuja na swali hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.