Dkt. Slaa ashauriwe

Chadema Sasahivi ina mbunge mmoja,tena nae ni mwananke harafu mnasema haijafa,labda Chadema ya jamii forums
Mpuuzi kweli wewe! Unaamini kuwa 2020 alishinda Mbunge mmoja tu wa CHADEMA!!!! Huyo jamaa yenu aliyeharibu uchaguzi ule apumzike kwa amani
 
Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe.

1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe atatiwa hatiani. Cha kushangaza DPP anafuta mashtaka yote kwa Mh Mbowe na Wenzake.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kwa kudandia kesi asiyoijua imetokea wapi.

2. Pili, Juzi Dr Slaa kasema Ripoti ya CAG imepotoshwa, kwa maana ikishafikishwa mbele ya bunge haitakiwi kuwa public document. Kumbe sheria ilifanyiwa marekebishi na Sasa Report ya CAG ikiwekwa mbele ya bunge inakuwa ni Mali ya Umma. Hivyo jamii inaruhusiwa kuijadili.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kaishia kuomba radhi kuwa amekosea na alipitiwa alidhani sheria ya mwaka 2009 bado inatumika.

3. Jambo la tatu Dr Slaa amedai kwamba Kuna uwezekano ya kwamba CHADEMA ndio wanahusika na kumlima risasi Lissu na akatumia issue ya huko nyuma kutetea hoja yake bila kujua ukweli wa Jambo. Juzi wamelumbana na heche kwenye club house na kuishia kusema amenukuliwa vibaya hakumaanisha hivyo.kwa bahati nzuri CHADEMA bado wanheshimu mzee, wangeweza kumfungulia kesi ya ya madai.

Hivyo walio karibu na Dr Slaa wamshauri ya kwamba alidai amestaafu siasa basi aendelee kustaafu, maana Ni Kama amerudi kwenye siasa.

Pia ajifunze kutoka kwa akina Musiba waliotoa kauli wasizo kuwa na uhakika nazo leo zimewafunga wamejificha hata Uhuru wa kuongea hawana.
Mzee SLAA ana Vitu viwili vinamchezea
NJAA na LAANA
 
Siku Dr slaa akiweka jinsi gani chadema ilivyo pokea kitita Cha lowasa na kupewa kupeperusha bendera ya CDM sijui itakuaje
Ikumbukwe kuwa mzee hyu hakurupukagi hvyo na ndio maan amekuja adharani kbsa kuomba radhi kwa kile kilichotokea kwa kutopata taarifa kamili

I'll Dr slaa anawjuwa CDM nje ndani
 
Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe.

1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe atatiwa hatiani. Cha kushangaza DPP anafuta mashtaka yote kwa Mh Mbowe na Wenzake.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kwa kudandia kesi asiyoijua imetokea wapi.

2. Pili, Juzi Dr Slaa kasema Ripoti ya CAG imepotoshwa, kwa maana ikishafikishwa mbele ya bunge haitakiwi kuwa public document. Kumbe sheria ilifanyiwa marekebishi na Sasa Report ya CAG ikiwekwa mbele ya bunge inakuwa ni Mali ya Umma. Hivyo jamii inaruhusiwa kuijadili.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kaishia kuomba radhi kuwa amekosea na alipitiwa alidhani sheria ya mwaka 2009 bado inatumika.

3. Jambo la tatu Dr Slaa amedai kwamba Kuna uwezekano ya kwamba CHADEMA ndio wanahusika na kumlima risasi Lissu na akatumia issue ya huko nyuma kutetea hoja yake bila kujua ukweli wa Jambo. Juzi wamelumbana na heche kwenye club house na kuishia kusema amenukuliwa vibaya hakumaanisha hivyo.kwa bahati nzuri CHADEMA bado wanheshimu mzee, wangeweza kumfungulia kesi ya ya madai.

Hivyo walio karibu na Dr Slaa wamshauri ya kwamba alidai amestaafu siasa basi aendelee kustaafu, maana Ni Kama amerudi kwenye siasa.

Pia ajifunze kutoka kwa akina Musiba waliotoa kauli wasizo kuwa na uhakika nazo leo zimewafunga wamejificha hata Uhuru wa kuongea hawana.
anatumika na maccm
 
Sikitiko la mahaba linazidi la msiba, Babu padiri slaa anaugulia maumivu makali ya kutoswa na mchumba wake mshumbushi, pole sana babu yetu padiri slaa.
Ana damu ya uasi kwa kuliasi kani, vyama, mke na hatimaye anajiasi mwenyewe.
 
Kimsingi sikuwahi kuandika Jambo lolote baya juu ya mzee huyu toka amehamia ccm kwa kuwa nilihisi bado anayo heshima yake ktk mageuzi ya siasa za nchi hii hususani ktk demokrasia ya Vyama vingi na upinzani kwa ujumla.
Lakini siku za hivi karibu huyu Mzee amekuwa akieleza Mambo kadhaa ambayo huwezi amini kuwa yanatapikwa na yeye mwenyewe.

Kwa mwenye Akili anaweza kujua kuna tofauti kubwa sana ya Dr. Slaa ambaye alikuwa Chadema akishindia Mihogo huku akiibua hoja fikirishi Bungeni na nje ya Bunge na huyu Dr.Slaa aliye hamia ccm na kuzawadiwa ubalozi na sasa anatuletea vioja.

Nami nitajikita ktk hoja mbali mbali alizo zungumza ili tuweze kumpima Kama huyu Dr.Slaa ni yule yule au Watanzania tumepigwa tena kuletewa Dr. Slaa feki kutoka huko Canada.

Kwanza Dr. Slaa anasema Ripoti ya CAG haitakiwi kuwa wazi kwa jamii na CAG hapaswi kudadavua hiyo Ripoti kiundani.Kwa kuwa watuhumiwa wanaweza kuwa wanaonewa kwa kuwa hawaja hojiwa na kujieleza.

Hivi kwa Akili za kawaida tuu CAG toka lini amekuwa mahakama? Vipo vyombo vingine vingi vya uchunguzi kubaini ukweli wa Ripoti ya CAG kwa nini huyu Mzee hataki raia tujue matumizi ya pesa zetu?

Pili huyu Slaa alikuwa kinara wa kutoa taarifa za ufisadi Bungeni na nje ya Bunge akiwa Chadema mpka kutangaza orodha ya Mafisadi papa( List of Shame) pale Mwembe Yanga na ikafikia mpaka watu wasio julikana kumuwekea vinasa sauti ktk chumba chake ili kujua anatoa wapi taarifa. Hakujua hao watuhumiwa alio kuwa akiwalipua walikuwa wanaonewa na walihitaji kwanza kusikilizwa?

Anapata wapi kiranga Cha utetezi wa Serikali ili hali Rais huwa anamuagiza CAG kuweka Mambo hadharani bila kumung'unya maneno?

Ukiwa na jicho pevu utaona pia Slaa anamponda Rais Samia kiaina kwa kuruhusu Ripoti ya CAG kuwa hadharani huku ikionesha ufisadi mkubwa wakati Magufuli alikuwa Madarakani kwa kuwa alimpa ulaji wa tumbo lake.

Amesema kupigwa Risasi Tundu Antipas Lissu hawezi kueleza kwa kuwa akiwa Katibu Chadema kulitokea tukio la kiongozi mmoja wa Chadema kutekwa na mmoja wa viongozi wa ulinzi wa Chama alimueleza kuwa ni yeye ndie alaye mteka.

Kwa maelezo yake kwa wenye Akili tunajua anasema kuwa sio Serikali tuu mtuhumiwa huenda Chadema pia wamehusika.

Tukisema tukubaliane na hoja yake Kuna maswali magumu yanaibuka. Iweje Katibu wa Chadema ambaye ndiye kiongozi wa shughuli zote za Chama asijue operesheni za Chama chake mpka aje aambiwe na mlinzi?

Huyu mlinzi mtekaji na muuaji ni kwa nini amueleze Siri hiyo Slaa ?Je ni kwa kuwa alikuwa anamuamini atatatunza Siri na kuwa wamewahi kushirikiana kufanya matendo mengine ya kiharifu? Ni miaka mingapi imepita mpka leo,kwa nini Slaa hakuyasema hayo akiwa Chadema? Ina maana hata Sasa huko CCM Slaa anashuhudia uovu mwingi hasemi anasubiri siku akihamia TLP aje atwambie Watanzania kuwa CCM ndio walio muwekea Mangula sumu? Je tumwamini huyu Mzee? Ni kwa nini hakuripoti tukio hilo ktk vyombo vya usalama?

Slaa ameshindwa kutuambia ktk eneo ambalo viongozi wa Serikali wanaishi lenye geti na ulinzi ni kwa namna gani Chadema wanaweza kuingia na kuwaondoa Walinzi wenye siraha na kuingia ndani na kumpiga Risasi Tundu Lissu na kufanikiwa kuondoka na Serikali isifanye juhudi zozote kuwatafuta ikakubali kuwa watumiwa.

Lakini ameshindwa kutueleza ni kwa nini Serikali haikuweza kutumia vifaa vya ulinzi Kama Camera zilizo kuwepo au kuomba msaada toka nchi zenye teknolojia nzuri kubaini ni nani wahusika mpka Leo hii.

Pia amezungumzia kuhusu KATIBA mpya akasema kwa maoni yake KATIBA mpya sio kipaumbele Cha wananchi. Nikawa najiuliza huyu Dr. Slaa wakati akiwa mgombea Urais kupitia Chadema aliinadi ilani ya Chadema amabayo ilikuwa na agenda ya KATIBA mpya na alituahidi Watanzania akiingia lkulu ndani ya siku 100 Tanzania tutakuwa na KATIBA mpya.

Lakini pia hata baada ya Uchaguzi kuisha na Matokeo kutangazwa kuwa Kikwete ameshinda uchaguzi huyu Mzee aliyapinga Matokeo kwa kudai kuwa sio halali.Huyu Slaa ndio mwanzilishi wa neno kuchakachua, alilitumia wakati ule akidai kuwa Tume ya Uchaguzi ilitangaza Matokeo feki yaliyo pikwa.

Iweje leo Dr Slaa awe na Imani na KATIBA hii mbovu na Tume hii ya Uchaguzi aliyo ilalamikia miaka yote? Huyu Mzee yupo timamu kweli kichwani?

Slaa tunakushauri sisi wajukuu zako kuwa Sasa umezeeka mzee.Kalale mzee pumzika mzee, hufai mzee.
Hako kaheshima kadogo uliko bakia nako kanatokana na Chadema kukupa nafasi. Huwezi ukaichafua Chadema halafu wewe ukabakia msafi. Maandiko yanasema ni heri kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu.
Halafu hii takataka mlikuwa mnailinganisha na Prof Ibrahim Lipumba ??
 
Tangu astaafu ubalozi na kurudi nchini Dr Slaa amekuwa akitoa kauli zenye utata ambazo mwishoni humrudia yeye mwenyewe.

1. Kwanza, Dr Slaa aliwaataka wafuasi na wanachama wa wachadema wakae kimya na kuacha kudai kuwa Mbowe sio gaidi na hana hatia. Nadhani akilini mwa Dr Slaa alijua lazima Mbowe atatiwa hatiani. Cha kushangaza DPP anafuta mashtaka yote kwa Mh Mbowe na Wenzake.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kwa kudandia kesi asiyoijua imetokea wapi.

2. Pili, Juzi Dr Slaa kasema Ripoti ya CAG imepotoshwa, kwa maana ikishafikishwa mbele ya bunge haitakiwi kuwa public document. Kumbe sheria ilifanyiwa marekebishi na Sasa Report ya CAG ikiwekwa mbele ya bunge inakuwa ni Mali ya Umma. Hivyo jamii inaruhusiwa kuijadili.

Aibu ikamwangukia Dr Slaa kaishia kuomba radhi kuwa amekosea na alipitiwa alidhani sheria ya mwaka 2009 bado inatumika.

3. Jambo la tatu Dr Slaa amedai kwamba Kuna uwezekano ya kwamba CHADEMA ndio wanahusika na kumlima risasi Lissu na akatumia issue ya huko nyuma kutetea hoja yake bila kujua ukweli wa Jambo. Juzi wamelumbana na heche kwenye club house na kuishia kusema amenukuliwa vibaya hakumaanisha hivyo.kwa bahati nzuri CHADEMA bado wanheshimu mzee, wangeweza kumfungulia kesi ya ya madai.

Hivyo walio karibu na Dr Slaa wamshauri ya kwamba alidai amestaafu siasa basi aendelee kustaafu, maana Ni Kama amerudi kwenye siasa.

Pia ajifunze kutoka kwa akina Musiba waliotoa kauli wasizo kuwa na uhakika nazo leo zimewafunga wamejificha hata Uhuru wa kuongea hawana.
Yaani hii ni ishara kubwa kuwa Jiwe alikuwa amekamata kor....i za wengi. Hivi sasa anageuza kibao (Yes anatetea but why the sudden change/turning around?? Pamoja na kuwa anatetea but UAMINIFU aka TRUST ukishaivunja ONCE kuirudisha kama ilivyokuwa mwanzo ni ngumu sana. What if akatokea JIWE au The Queen akabadilika ghafla na kumsamehe mbeba silaha na kumtunuku cheo mahali............. Je hatakengeuka tena kama enzi za Jiwe?

Ametest maji kwa ncha ya kidole yamemwunguza........ Surely sio wa kuaminiwa tena huyu.
Mwamba ni Mh. Mbowe na mashjaa wengine wa kambi ya Upinzani waliovumilia mateso bila ku-give up

Ujumbe huu uende kwa wale wote waliowahikubeba ufahari wa kuwa wanaharakati na wakaishiwa pumzi njiani;
  • Prof. Kitila Mkumbo (Alikuwaga kinara wa migomo Chuoni enzi zake - I admired him for that - Alinifanya nikatembea mto Ubungo kwenye maji kukwepa mabomu na virungu vya wajeda enzi hizo - Revolution Square)
  • Dkt. Slaa enzi akiwa Upinzani kabla haja.........sijui hata nisemeje
  • Mh. Msigwa???
  • Kaka Msigwa aiii huyu aisee enzi ako Songea kama mwandishi wa habari (Katika nafasi yetu alikuwa so very radical...nway...)

Yuko wapi kaka Deus Kibamba?...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom