Recent content by miyanga

  1. M

    Bila connection hupati kazi

    Wanajamvi nawasalim, Katika vitu nimejifunza tujitahidi sana kama vijana kufanya kazi kwa bidii huku tukiwaandalia watoto wetu mazingira mazuri ya biashara, kama umemsomesha aje kuajiriwa basi fanya juu chini tengenza connection. Vijana wengi baada ya kumaliza vyuo na kutofanikiwa kupata ajira...
  2. M

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Kwa msaada hizi ni baadhi ya masomo anayosoma mfamasia akiwa chuo 1.Human Anatomy 2.Physiology 3.Biochemistry 4.Basic pharmacology ambayo MD husoma 4.clinical pharmacology 5.clinical pharmacy & clerkship 6.Pharmaceutical microbiology 7.Pharmacognosy 8.Pharmaceutical/medicinal chemistry...
  3. M

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Kuuliza au kuwa na uelewa mdogo sio kosa kosa ni kujifanya unajua wakati hata hujui inamaana hata umeshindwa kuuliza mfamasia anasoma mambo gani kuanzia first year hadi fourth year? Unaidhalilisha hiyo kada uliyosomea kama kweli ww ni MD
  4. M

    Je unafahamu nini kuhusu bone marrow transplant? (Upandikizaji wa oboho)

    Upandikizaji wa uroto ni tiba ngeni katika nchi zetu za ukanda au bara la Afrika na kwasasa unapatikana nchini kwetu. Uroto ni nini? Uroto ni tishu zinazo patikana katika mifupa mirefu kwenye mwili wa binadamu na nyonga.Tishu hizo zinakuwa na seli za shina (stem cells). Upandikizaji wa uroto ni...
  5. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Msaada namba ya emergency tanesco tabata segerea Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. M

    Shule inawezaje kupata matokeo kama haya?

    Editing Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. M

    Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

    Mbona hamsemi Bakhresa watu bana
  8. M

    Ofisi za Bolt iliyokuwa Ikifahamika kama Taxify zipo wapi hapa Dar?

    Hawa jamaa kweli wanazingua ilitokea kwangu pia natoka jangwani sea breeze naenda sinza mori nafika dereva anasema 14000 wakati kabla iliandika 6000-7000 alafu baada ya kuwaambia Bolt kupitia Email wanajibu kirahisi tu wanazingua sasa kama mtu hujawa nayo hiyo mwisho wa safari
  9. M

    Kuna watu mnakichukulia poa Chama Cha Mapinduzi

    Hizi zinazotolewa kwa walim na kada za afya ni nn acha chuki Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

    Namsikiliza hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Utaratibu wa matibabu huujui? hapa tuzungumzie ubunge wake kipi kunafaida kukaa huko anakozunguka au kuja yz Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Umenena jambo mkuu inatakiwa tufike mahala tuelewe sio watu wanamtaka arudi wanamipango nae mibaya ila ni kuondoa dhana asije kuvuliwa ubunge kwa kufata sheria ionekane kaonewa watanzania unawaacha tz unaenda kuzurura ulaya kushtaki njoo nchini pambana wapigania uhuru wote hawakukumbilia kwa...
  13. M

    Kama Waarabu na Wazungu wasingefika Africa Leo hii tungekuwa na Dini gani?

    Unasema? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Mtu yeyote asiye muislam anaitwa kafiri sasa tatizo nn hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Dah umefika mbali sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom