Kuna watu mnakichukulia poa Chama Cha Mapinduzi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,193
46,649
Utasikia Mara ooh chamani wanavurugana Mara ooh Magufuli hakubaliki chamani na uzushi mwingine mwingi tu hawajui Kama wenye Chama tuko huku mitaani na tunampenda Magufuli sana kwani amethubutu kuijenga Tanzania mpya.

Kwa taarifa yenu CCM ndio Chama chenye kufuata demokrasia kwenye chaguzi zake
Ndio Chama pekee ambacho kina uwezo wa kujitathmini na kubadilika anytime.

Ndio Chama pekee chenye ofisi zinazoeleweka yaani ukiangalia ofisi yao TU unajua kweli Wana viongozi walio serious kushika nchi.

Ndio Chama pekee Tanzania ambacho kina jumuiya imara Sana mfano uvccm,ya wanawake ambazo zinahamasishana kwenye upigaji wa kura.

CCM ndio Chama pekee ambacho kwa Sasa nchini Tanzania hakuna kikundi cha watu wachache ambacho kinaweza kuwa na NGUVU kuliko ofisi yetu namba Moja ikulu yaani hakuna Tena makundi na Wafanyabiashara ambao Wana uwezo wa kumuingilia rais Magufuli kwa sababu amekataa kabisa kucheka nao(advantage kwetu wanyonge).

CCM ndio Chama ambacho kina tawi karibu Tanzania yote kila mtaa.

CCM ndio Chama ambacho hakina uongozi wa kiimla,akimaliza mkapa atakuja kikwete atakuja Magufuli baadae atafuata mwingine.

CCM kinapendeza machoni sare na flana zao za kijani na nyimbo zao za TOT Zinatupa Sana faraja watanzania wengi (sio lazima tuwe wote).hata tukipata faraja watanzania million kumi inatosha kuliko kutokupata wote kabisa.
 
enzi za chama kimoja CCM ilikua radhi kujenga ofisi za chama badala ya vituo vya afya, tena kwa pesa ya umma, leo hii mnajitapa eti ndio chama pekee chenye ofisi, shame on you
 
Tunakidharau sana hiki kigenge cha kigaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu pekee binafsi ninachochukizwa nanyi ni;
1. Kujenga jeuri ya kutowasikiliza wananchi
2. Kupuuza madai ya wananchi na wafanyakazi na wanapotumia busara ya kunyamaza mnaona mmeshinda sana.

Ninaomba Mungu atupe viongozi sahihi ninyi tayari hamtufai na jeuri zenu.
Hekima itawale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Batch Ngap za Degree Holder Ziko mtaani Zinauza Chips Since 2016? Toeni Ajira Mpya.

"Mopao Mokonzi"
 
Huwa sitetei chama ila kama kimefanya vizuri nitakisifu au kimekosea nitakosoa

Na kiukweli kuongoza nnchi ni vigumu sana kumbe kwa aliyofanya Magufuli kuna sehemu nina msifu na kuna mahali anajikwaa ila Kajitaidi kwa mengi Sana kuliko Mapungufu na tujue kuwa Hamna aliyekamilika ,hata angepewa nani hii nnchi ya Tanzania hawezi kufanya vizuri kwa 100%

lazima wakosoaji na wasiopenda Maendeleo wawepo mfano tu kitaa,chuoni,nyumba za kupanga ma maafisini lazima uwakute walalamikaji,wasumbufu,wasiotaka uendelee,wapingaji yani ndo ivyo

Hata wapinzani wakipatia huwa mawasifu sana wanapopatia na kufanya Maendeleo kikubwa kula yangu nampa kiongozi bora na sio kushabikia chama,na Kama chama kinapatia huwa nakisifu chochote kile Kikubwa Maendeleo

Maendeleo hayana chama
 
enzi za chama kimoja CCM ilikua radhi kujenga ofisi za chama badala ya vituo vya afya, tena kwa pesa ya umma, leo hii mnajitapa eti ndio chama pekee chenye ofisi, shame on you
Yaani Chama kilikua na nguvu zaidi ya serikali...alafu wanachama wakaona.wahamasishane kujenga ofisi lakini siyo shule wala zahanati....Kweli ngozi nyeusi ni balaa
 
Hakuna mtu mwenye muda mchafu kuhangaika na hilo lichama
Utasikia Mara ooh chamani wanavurugana Mara ooh Magufuli hakubaliki chamani na uzushi mwingine mwingi tu hawajui Kama wenye Chama tuko huku mitaani na tunampenda Magufuli sana kwani amethubutu kuijenga Tanzania mpya.

Kwa taarifa yenu CCM ndio Chama chenye kufuata demokrasia kwenye chaguzi zake
Ndio Chama pekee ambacho kina uwezo wa kujitathmini na kubadilika anytime.

Ndio Chama pekee chenye ofisi zinazoeleweka yaani ukiangalia ofisi yao TU unajua kweli Wana viongozi walio serious kushika nchi.

Ndio Chama pekee Tanzania ambacho kina jumuiya imara Sana mfano uvccm,ya wanawake ambazo zinahamasishana kwenye upigaji wa kura.

CCM ndio Chama pekee ambacho kwa Sasa nchini Tanzania hakuna kikundi cha watu wachache ambacho kinaweza kuwa na NGUVU kuliko ofisi yetu namba Moja ikulu yaani hakuna Tena makundi na Wafanyabiashara ambao Wana uwezo wa kumuingilia rais Magufuli kwa sababu amekataa kabisa kucheka nao(advantage kwetu wanyonge).

CCM ndio Chama ambacho kina tawi karibu Tanzania yote kila mtaa.

CCM ndio Chama ambacho hakina uongozi wa kiimla,akimaliza mkapa atakuja kikwete atakuja Magufuli baadae atafuata mwingine.

CCM kinapendeza machoni sare na flana zao za kijani na nyimbo zao za TOT Zinatupa Sana faraja watanzania wengi (sio lazima tuwe wote).hata tukipata faraja watanzania million kumi inatosha kuliko kutokupata wote kabisa.

In God we trust
 
Chukua Chako Mapema

Back
Top Bottom