Recent content by miyamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

    hapo sawa, ila huko kijijini huna baba mdogo ,babu mkubwa au mashangazi, ndio maana wenzetu wako mbali maana hua wakienda wanakua na kikao cha ukoo, sasa sisi wemgine watoto wa john ni wajohn watoto wa baraka sio wa john , Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

    ukiona mtu hataki kujenga kwao huyo ni mjinga na mpumbavu ,mm ni mgogo ,unaishi vizur mjini ukienda kwenu nyumba kama banda la mabata tubadilike Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba kubwa ya familia kwa Morogoro

    Milion ishirini.
  4. M

    JamiiForums Tanzania DC wa Tabora Mjini anafanya kazi kwa kufuata miongozo na maadili ya kazi na kiapo cha maadili ya utumishi wa umma

    DC chapa kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

    Hivi kwanini kila kona ya mji ulioendelea kidogo utakutana na watu wa kasikazin wanabiashara tayari, nenda kahama, mwanza chato, dodoma ,dar kariakoo Hawa wenzetu waliwekeza kwenye elimu elimu na biashara kuwakimbiza inatakiwa tufanye bidii sana, kuna siku nlikua kcmc hosp jamaa angu akaniambia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu À. Lissu (makamu mwenyekiti Chadema) ni nani ?

    Una kumbukumbu nakumbuka akamnyooshea jamaa mmoja kidole kua anamfwatilia sio mwanafunzi wa udom akidai alikua nae udsm so tumwangalie kwa umakini huyu jamaa, Ila dundulisi wa kipindi kile sio huyu wa sasa hivi anaepinga hata haya mazuri ambayo Raisi Magufuli kayafanya ndani ya miaka minne...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

    huyu jamaa kama gaidi vile ,tuwe makini watanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Alaf acheni kudharau wateja wenu

    ahsant kwa kunirekebisha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Alaf acheni kudharau wateja wenu

    Jamani Alaf wanakua wazuri kabla mteja hajafanya malipo hua wanakua na maneno mazuri sana ya kumbembeleza mteja. Ila ukishalipia unaonekana takataka, Nimefanya malipo tangu tarehe mbili hadi sasa sijapata mzigo wangu wa mabati kila nikifika wananizungusha wanadai mabati yamekatwa tatizo ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka kwanini zinamuogopa DC wa Tabora Mjini Komanya Kitwala?

    dah kama nikweli naamini mh Raisi hatamuacha Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom