Recent content by Mivyumba

  1. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Wewe Dada Umenifanya ñicheke Kwa Sauti😂😂😂mbona mnawaonea Sana Ma bodaboda Jamani! Nadhani haujawahi KUKUTANA na walio Smart!! Kuna Kaka Alikuwa Bodaboda wangu Nzega,Alikuwa Smart Sana utafikiri mtu wa Ofisini Yaani
  2. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

    Wapunguzie wasiojiweza Kaka ! Utabarikiwa Sana,Kuliko kuyaacha yanuke Uvundo ndani
  3. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Ila Wenzetu Jamani ufahamu wao Huwa umefungwa Sijui 😁Yaani Wana mambo ya kitoto vile!! Hadi Huwa ninawaza Huwa Wana Akili timamu kweli?? Hapa wamefunga but wanafutumusha matusi,wengine Wanafunga machoni Mwa Watu akiwa Pekee anakula😂Sasa sijui wanafañya kwaajili ya Nani sasa.
  4. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Chuo safi kivipi? Ubabaishaji Mwingi Sana ulikuwepo Kipindi Kile! Maybe kwasasa wamekiboresha!! Madudu yalikuwa Mengi Sana!! Walitangaza wanatoa Course nyingi,kumbe walikuwa na Course mbili au Tatu zilizokuwa zimesajiliwa!!
  5. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Nimesoma Pale Mimi,Kipindi Bado hawajabadilisha Jina ! Kilikuwa Kinaitwa Musoma Utalii College. Mengi uliyoyasema ñi ya kweli! Sisi baadhi Yetu kwenye semester Yetu Tuliwafungulia Kesi na Wengine walirudishiwa Pesa zao
  6. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Umenena Sahihi! Kuomba Kwa Roho Mtakatifu ni kuzuri Tena Kwapendeza Sana! Mungu ATUWEZESHE Kuwa na Neema hii
  7. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Kukombolewa Kutoka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 1

    Nimepata kitu
  8. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Wanaoshadadia wote Kwamba Msaada wa Mchele ungepokelewa ni Wapumbavu. Mna Agenda ya Siri kuhusu huo Msaada Wenu, bahati Nzuri Msomali Kawagundua!!! Halafu NGO Yenyewe ndo zile NGO zilizokuwa kwenye List ya Mwakyembe. Unaeshadadia na kuwaabudu hao Wamarekani Wako ni Bora ungeenda huko...
  9. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

    Low Self esteem!! Jikubali na flat Yako Jamani
  10. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Sikio kupiga kelele

    Sawa
  11. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Sikio kupiga kelele

    Habari wakuu! Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali. Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini nilivyofuatilia nikagundua ni Sikio La Kushoto linafanya hivyo na Wakati Mwingine lile la kulia mara...
  12. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu ya kiroho kuhusiana na hili suala, je ni kawaida au?

    Hii Hali hata Mimi Huwa inanitokea 👇 Hili swala la kumkumbuka mtu na kupigiwa simu au kutumiwa sms baada ya muda kidogo kwangu ni swala la kawaida sana, au kukutana na mtu ambaye nilikuwa namfikiria kichwani ni jambo la kawaida sana Na ukimwambia mtu anakataa anasema acha uongo bana...
  13. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Ngoja nijipange,nitakutafuta
  14. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Kuhani Musa ni mganga Manyaunyau aliyechangamka

    Umempimaje ukahakikisha ni Mtumishi wa Mungu??
  15. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    😂😂😂😂😂Nimecheka kwa Sauti
Back
Top Bottom