'vitambaa vyekundu usoni' 'hisia za kigaidi' 'kutoa ushahidi wa kikundi fulani' hayo maneno mbona mnayatoa kwa uoga fungukeni moja kwa moja tuwaelewe kwamba hayo matukio mnayahusisha na uislam, maana mnapochoka kuwaza ndo mnapoangukiaga hapo
Wandugu salaaam!!
Me ni mmoja kati ya waliopo kwenye mchakato wa kuomba vyuo kwa sasa. kuna kitu ambacho kinanipa mkanganyiko kidogo so naomba tusaidiane...
Aisee rungwe ni very good place to be for studies, nlikuwa pale mie, ni eneo ambalo hutojutia mazingira ni mazuri, waalimu wakutosha..umepangiwa comb gan?
kaka BIG SHOW kuna hadithi ya mtume inasema "Uislamu umekuja hali ya kuwa ni mgeni na itaondoka hali ya kuwa ni mgeni na pepo ipo kwa ajili ya wageni".
Mgeni akiwa na maana kipindi ambacho mtume anaitangaza dini hii watu waliokuwa wakijinahibisha kuwa ni waislam walikuwa wakipatwa na madhira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.