Recent content by Mitsubish

  1. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Basi la Kampuni ya Maning Nice limepata ajali ya kupinduka

    Mungu hupendelea Kuwaita awapendao zaidi April Na Desemba,sio May
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Basi la Kampuni ya Maning Nice limepata ajali ya kupinduka

    Sijui burst au mini..maana sehemu zile pako sawa tu ingawa kuna kina Na down isiyo Kali sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ali Kiba bila Diamond

    Kiba anatumia nguvu kubwa Na Pesa lakini waapi Achana Na Mtoto wa Tandale
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

    Naamini huku afrika watu wengi hufa kirahisi sana kuliko huko mbele...kuna wengine huwa wamezima tu kwa mudavila kutokana Na mihemko ya maisha Na halingumu za maisha doctor anaamua ahh keshakufa pelekeni mortuary! Kumbe MTU mzima!ndio kiss zimeshakuwepo story za walinzi wa mortuary kutimua mbio...
  5. M

    JamiiForums Tanzania TBC1 kushirikiana na TV1, Kuonesha Bure Kombe la Dunia Russia 2018

    Dr leaky looh TBC?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tumeithibiti Malaria yameibuka magonjwa makubwa na hatari

    Malaria hatujaishinda bado
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Movie inaendelea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

    Wanyanyue level ya Barabara toka Magomeni kwa macheni hadi mataa fire
  9. M

    JamiiForums Tanzania Stendi ya mabasi ya mikoani Ubungo kuhamishwa kupisha kituo cha mabasi ya Mwendo Kasi

    Kutanua mto sio solution!huwezi kuyacontrol maji ktk njia yake ya asili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Brazil kitakachoelekea Urusi 2018 Kombe la Dunia

    Strickers?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Lakini kale katoto ni motooo ..kameshaua mmoja Na kanatoka aisee kataumiza wengi uraiani wenye zao
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana kwa hasira za kutamaushwa na mabasi ya mwendo kasi

    Wakazi wa Kimara ktk ubora wao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage fufua kiwanda cha nguo Urafiki na kiwanda cha zana za kilimo UFI

    Maanake ufi imekufa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha nguo Urafiki kimekufa?

    Kuna uchochezi gani hapo?au amechochewa Nani?
  15. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona ndiye mbabe wa muda wote Spain

    Barca ya msimu huu ukisikia imefungwa Jua wametaka tu kufungwa,hakuna wa kumzuia barca Spain...dharau ndio zinawaponza sometimes
Back
Top Bottom