Recent content by mito mingi

  1. M

    Maslahi yangu nayaweka wazi leo

    Mimi kama wewe kasoro Mimi mwananchi damuu
  2. M

    Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Hivi China bar iliishia wapi?
  3. M

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Nakuna namna inaungwa kama ikitokea imevunjika [emoji23][emoji23]
  4. M

    Za Ndani Kabisa: Siku yoyote Ndege ya Diamond Platnumz inatua Bongo

    Kwasababu kanunua diamond imekua sio ghali tena [emoji23][emoji23] Mwishowe mtasema kaiazima kwa watoto wa bakhresa.
  5. M

    Hayati Magufuli alikuwa analipwa na nani kusema uongo?

    Hele zile za Uhuru zilitumika kupanua hiyo barabara awamu ya kwanza ambapo ilipanuliwa pembeni kabla ya huu mradi mkubwa kuanza Alifanya hivyo sababu ya foleni njia hii ilikua na foleni sana.
  6. M

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Shughuri ni kwa refa kumaliza mpira kile kipenga cha mwisho atavamiwa na timu iliyofungwa pamoja na mashabiki atachezea kipigo cha hatari [emoji23][emoji23]
  7. M

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Nakumbuka kuletewa zawadi ilikua inshu Siku ukiletewa zawadi hulali unaombea pakuche uwaringishie wenzako.
  8. M

    Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Makabati ya video kufungwa na funguo Yanafunguliwa jioni tu mkishamaliza kuoga [emoji23][emoji23]
  9. M

    Mbunge CHADEMA atishiwa maisha, kisa fomu dhidi ya Mbowe

    Maajabu wote wanaoshabikia uenyekiti wa chadema ni ccm, wanataka waweke mtu wao pale iliwaze kuisambalatisha chadema na bahati nzuri nikwamba makamanda wameshajua mchezo wao mchafu. Chadema kwa sasa bado inamuhitaji mtu imara na jasiri ambaye ni Mbowe tu kwasasa.
  10. M

    Upungufu wa kinga za kiroho

    Mkuu je ile tiba mbadala ya chumvi haiwezi kupumguza kinga kiroho?
  11. M

    TANZIA: Mhadhiri wa Chuo Kikuu na Mwandishi wa vitabu Dominic Thabit Msabila afariki dunia

    Pumzika kwa amani mwalimu wangu na mtu wangu wa karibu sana kibiashara kupitia vitabu vyake vyote chini ya Nyambari Nyangwine Publishers, hakika ulikua jembe.
Back
Top Bottom