Recent content by Mitkasi

  1. Mitkasi

    FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Mbona huku Kibanda umiza match za Yanga ni Bure?
  2. Mitkasi

    Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

    2019 leo 2021??? Hawa wamama wa siku hizi wapoje? Mtoto wako wa Kike unashindwa kumgundua hata kutembea?
  3. Mitkasi

    Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

    Huyu sio CHUI (Leopard) ni DUMA (Cheetah) huyu anafugwa kama vile Mbuzi au Mbwa, kasheshe ipo kwa Leopard HAFUGWI na HANA UJAMAA
  4. Mitkasi

    Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

    Bora hata angekua Ndugunwa Kike atasaidia hata Kazi za Nyumbani, Dume zima afu lilevi unakaa nalo. Ngoja akutombee Watoto wako hapo asingizie Pombe
  5. Mitkasi

    Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

    Pole sana Mkuu Polisi watakuambia lete elfu 50 tuifuatilie no ktk kampuni za simu. Jiandae sana kuliwa hizo hela 50-50
  6. Mitkasi

    Uchimbaji mchanga Mto Msimbazi: Watendaji saidieni Mamlaka husika na Wananchi wenu

    Hizi ni Dili flani za Wakuu wa Wilaya hata maeneo ya Goba, Tegeta A, Wazo nk kuna Mikono ya hawa Viongozi, wana 10/100 zao Kabisa.
  7. Mitkasi

    Ngoja nikwambie sasa, sisi wahuni wa miaka ya 90 na tulivyo sasa

    Abuja wana Dame Mkobo, Sinza Starr wana Marehem Pati! Umesahau na waKush kuna Jimmy Chizi
  8. Mitkasi

    Waraka wa Diwani mstaafu wa CHADEMA kwa Tundu Lissu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Mitkasi

    Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

    Huyo Jamaa Boxing haijui, yaani The Undisputed World Heavyweight Champion ktk 20yrs anasema anabebwa?
  10. Mitkasi

    Msaada: Mwenye kitabu cha Alfu lela U lela

    Uhakika zaidi nenda pale Mkuki Publisher’s, Samora. Vinapatikana matoleo yote.
  11. Mitkasi

    Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

    Polisi wanakuambia lete 50k tupate Details toka kwenye Makampuni ya Simu tupewe Location. Baadae lete 50k tena ya Ukamataji na Blah Blah kibao Mwisho wa Siku Gharama inafka uliyo tapeliwa na simu huipati
  12. Mitkasi

    Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

    Mtu mmoja Kauli Mbili, usikute hata kwenye Video alidanganya ni alijua MUME WA MTU
Back
Top Bottom