Recent content by mitindo huru

  1. mitindo huru

    Tanzania tuna mahandaki (tunnel) na ving'ora kwaajili ya kujikinga endapo tutashambuliwa kwa njia ya anga?

    Umeuliza swali zuri ila naona watu wanafanya masihara kwenye majibu. Kwa maono yangu nafikiri serikali ingefanya chini ya vituo vya mabasi ya mwendokasi kua mahandaki sababu ya aina ya ujenzi wake ulivyo, pia hata hivyo inawezekana chini ya vituo vya mabasi ya mwendokasi ikawa ni mahandaki...
  2. mitindo huru

    Haki ya Wapalestina

    Hongera sana ndugu kwa hayo maneno uliyoandika. Nimefurahi kuona bado kuna watanzania wenye uelewa wa ukweli kuhusu dunia inavyoenda na propaganda zake. Kwa kuongezea ni kwamba wale wayahudi feki pale Israel sio wayahudi halisi, wale wanafahamika kama ashkanazi Jews ambao ni sinagogi la...
  3. mitindo huru

    Kiapo na Maagano ya Kufanikiwa katika Maisha.

    Umezunguka sana na maelezo yako ila kwa kifupi ili mtu kufanikiwa au kutofanikiwa zipo njia mbili tu ni Ufate nguvu ya Nuru au giza. Njia ya Nuru ina sheria zake pia njia ya giza ina taratibu zake. Lakini pia ukifata njia ya Nuru au giza pia kuna sheria ndogo nyingi sana zakufuata ili mtu...
  4. mitindo huru

    Hoteli za bei rahisi Kariakoo au Mnazi Mmoja

    Nenda hotel inaitwa Keys, ya marehemu Ndesamburi vipo vyumba vya 25,000 Hadi 30,000. Hotel ipo kariakoo karibu na jengo la Ushirika.
  5. mitindo huru

    Nini kitasaidia mti wa mwembe kuzaa matunda?

    Kinachosababisha hiyo hali ya mwembe kutokuzaa ni aina ya wadudu wanafanana na sisimizi ambao mwembe ukianza kutoa maua hao wadudu wanaenda kula maua hivyo kupelekea mwembe kushindwa kuzaa. Jambo la kufanya ni kuhakikisha unapiga dawa katika miembe yako kila miembe ikikaribia kutoa maua au...
  6. mitindo huru

    Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

    Ndio, TIN ya biashara ila hata kama hauna TIN ya biashara tumia TIN ya kawaida
  7. mitindo huru

    Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

    Document unazotakiwa kuwa nazo ni Kitambulisho Chako chenye jina linalofanana na Document atakazokutumia, TIN number na pesa za kutolea mzigo bandarini kwa malipo ya Port charge, wharfage, shipping line, Agent fee n.k Document atakazotakiwa kukutumia ndugu yako ni Bill of Lading, Invoice na...
  8. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Asante sana ndugu kwa hizo link, ingawa tayari kuna watu kadhaa wameshajitokeza.
  9. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Siwezi kukucheki ndugu sababu wazo lako haliwezi kutekelezeka kwangu, Pia kumbuka hiyo ni hiari, hivyo hakuna kitu cha ajabu au kushangaza ninapotoa mtazamo wangu.
  10. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Wewe unafikiri nini kifanyike katika jambo kama hilo?
  11. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Upo sahihi ndugu, ila ndio maana kuna makubaliano na hilo ni jambo la hiari.
  12. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Wazo zuri sana ndugu, bado sijafanya hitimisho la utekelezaji hivyo wazo lolote bora linaweza kutekelezeka.
  13. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Hili wazo jipya ndugu, nimetafakari sana na kufurahi kwa ujasiri wako. Ila kwa kifupi haitowezekana kwa sababu tayari mtoto atakua damu yangu hivyo inaweza kuleta sintofahamu baada ya miaka. Ninaweza kukupa wazo kwamba kama una sifa nilizotaja, fanya kwanza mpango wangu halafu badae mimi...
  14. mitindo huru

    Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

    Njoo PM ndugu, Yote yanawezekana
Back
Top Bottom