Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,286
- 10,933
Subiri kwanza bado tuko busy kununua magari ya washa washa kwa ajili ya kuzuia maandamano ya Chadema!Kama tunavoshudia hali ya amani duniani inazidi kuwa tete siku maana kila mtu ni kambale kwahyo muda wowote kunaweza kutokea vita hapa duniani, je serikali yetu pendwa imejiandaaje kutulinda raia wake ndo swali kubwa najiuliza hapa, tuna air defense system ngapi, je vingo'ra vipo kama ishara ya kutumbia tuingie kujfcha kwenye mahandaki au tunaishi kama hakuna litakalo tokea mbele kwenye hii dunia ya kila mtu mbabe?