KALIKWENDA DESIGNS
Tunabuni na kushona Nguo tofauti tofauti, za kike na za watoto, Toa oda tunakushonea kwa bei nafuu kabisa. tunapatikana Dar es salaam- Ubungo. tupigie kupitia namba hii: 0655 246 867,
pia unaweza kutembelea tovuti yetu kuona nguo mbali mbali: Mitandaoni
Mugabe akiwa kizuizi cha nyumbani kwake, akiwa anafurahi jambo na mkuu wa majeshi Constantino Chiwenga (anaeongoza mapinduzi ya kijeshi nchin humo -Zimbabwe).
Kweli haya na mapinduzi ya aina yake....comrade kwa comrade wanajadiliana juu ya mambo ya Nchi, kwa hali ilivyo Robert Mugabe bado ni...
Jamani jamaniii, familia bado inawapenda, usijaribu kujibizana na polisi kisa hauna bima au leseni ya gari, utakuja kuishia mahakamani ukapelekwa segerea. kazi ya polisi ni kusimamia sheria, usipo kuwa na bima au lesini anakukamata unachagua moja faini au mahakamani..kazi kwenu.
KATIKA kukabiliana na ujenzi holela nchini, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameziagiza halmashauri zote nchini kupiga marufuku wananchi kujenga katika maeneo yasiyopimwa.
Pamoja na hayo, Waziri huyo amewahakikishia Watanzania kuwa wizara yake itaendelea kutekeleza...
Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen
Serikali kupitia Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Dr. Mbarawa, imesema sio kweli kwamba ndege iliyonunuliwa na serikali ni miongoni mwa ndege ya terrible teens ambazo zimekosa soka, kutokana na kuwa na uzito...
Rungu la TFF latua Simba FC, yapokonywa Point 3 za Kagera Sugar
BY NA MWANDISHI WETU · APRIL 24, 2017
KAMATI ya Katiba Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imeipokonya Simba ushindi wa mezani waliopewa baada ya kufungwa na Kagera Sugar 2-1 Aprili 2, mwaka huu...
ipo hiv, kuna mjumbe wa kamati ya ligi kuu alikuwa anajua kuwa fakhi ana kadi 3 z Njano, alikuwa amekaa kimya tu hata hakujishughulisha kawapa taharifa kagera sugar wala wajumbe wengine wa tff. baada ya simba kufungwa akachukua faili akampa Kaburu kwa njia ya panya. Ndio maana timu nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.