Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen

mitandaoni

Member
Mar 25, 2017
10
25
Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen

Serikali kupitia Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Dr. Mbarawa, imesema sio kweli kwamba ndege iliyonunuliwa na serikali ni miongoni mwa ndege ya terrible teens ambazo zimekosa soka, kutokana na kuwa na uzito mkubwa unasababisha kula mafuta zaidi na haziwezi kwenda umbal mrefu bila kuongeza mafuta.

Terrible teen ni ndege za mwanzo Aina ya dreamliner 787 zilizotengenezwa na miaka 6-7 iliyopita. Ndege iliyonunuliwa ina uzito kidogo ukilinganisha na dreamliner za zamani, za sasa 787 zina uzito wa tani 4-6 ukilinganisha na dreamliner za mwanzo

Kati ya ndege hizo Terrible teen zilizokosa soka , Terrible namba 13 n 14, 16, 17, 18 ethiopia airways wameonyesha nia ya kuzichukua, terrible teens line namba 11 inatumiwa na boeing business jet, namba 12 Ethiopia airways wameonyesha nia kuichukua, terrible teens line namba 4 na namba 5 zinatumiwa na boeing kama testing aircraft

Ndege inayoonyweshwa kwenye mitandao line number yake ni 19 na ya kwetu ni line namba yake ni 719, Napenda kuwahakikishia Watanzania wenzangu kuwa Serikali imenunua ndege mpya na ya kisasa na kwa bei nafuu dreamliner inatumia injini za aina 2 ya RR au GE, ndege tuliyonunua sasa hivi inajengwa na kinachoendelea sasa hivi tunachagua engine kabla ya ndege kumalizwa unapewa uhuru wa kuchagua engine. Serikali imeweka ratiba ya kufuatilia ndege hiyo hatua kwa hatua mpaka ikamilike

Chanzo: Mitandaoni.co.tz
 
Niliwahi kusema wapo wasiopenda mema ya hii nchi ili mradi tu wapate sapoti kisiasa na c maendeleo ya nchi hii, sasa yule alietupa data za ndege tuliyopigwa aje kutudanganya tena manaake wenyewe wamesharispond.
 
Duh inamaana uzito wa Boeing 787 ni sawa na Toyota Canter tu, how come iweze kumudu upepo wa angani........

Na wataalamu wa mambo aircraft machenics nisaidieni hivi ndege moja inaweza kutumia Injini zaidi ya aina moja kwa wakati mmoja..? Mfano upande mmoja kuna injini ya RR an upande mwingine kuna injini ya GE...?
 
Non sense.

Huyo waziri alihusishwa kwenye manunuzi? Kama alihusika, je bajeti hiyo ilijadiliwa wapi? wakati bungeni haikujadiliwa.

Note: Kwa dunia ya utandawazi huu inahitaji akili kubwa sana ili kudanganya watu.
Kwa sab haikujadiliwa basi waziri hajahusishwa?
 
Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen

Serikali kupitia Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Dr. Mbarawa, imesema sio kweli kwamba ndege iliyonunuliwa na serikali ni miongoni mwa ndege ya terrible teens ambazo zimekosa soka, kutokana na kuwa na uzito mkubwa unasababisha kula mafuta zaidi na haziwezi kwenda umbal mrefu bila kuongeza mafuta.

Terrible teen ni ndege za mwanzo Aina ya dreamliner 787 zilizotengenezwa na miaka 6-7 iliyopita. Ndege iliyonunuliwa ina uzito kidogo ukilinganisha na dreamliner za zamani, za sasa 787 zina uzito wa tani 4-6 ukilinganisha na dreamliner za mwanzo

Kati ya ndege hizo Terrible teen zilizokosa soka , Terrible namba 13 n 14, 16, 17, 18 ethiopia airways wameonyesha nia ya kuzichukua, terrible teens line namba 11 inatumiwa na boeing business jet, namba 12 Ethiopia airways wameonyesha nia kuichukua, terrible teens line namba 4 na namba 5 zinatumiwa na boeing kama testing aircraft

Ndege inayoonyweshwa kwenye mitandao line number yake ni 19 na ya kwetu ni line namba yake ni 719, Napenda kuwahakikishia Watanzania wenzangu kuwa Serikali imenunua ndege mpya na ya kisasa na kwa bei nafuu dreamliner inatumia injini za aina 2 ya RR au GE, ndege tuliyonunua sasa hivi inajengwa na kinachoendelea sasa hivi tunachagua engine kabla ya ndege kumalizwa unapewa uhuru wa kuchagua engine. Serikali imeweka ratiba ya kufuatilia ndege hiyo hatua kwa hatua mpaka ikamilike

Chanzo: Mitandaoni: Siasa, Michezo na Burudani – 
kwahiyo ndege tatizo lake uzito tu? sasa sitununue hiyo kwa us$99 iwe inaenda dar dodoma mwanza na kurudi, kwa bei hiyo tunapata ndege tatu na nyongeza juu, au?
 
Niliwahi kusema wapo wasiopenda mema ya hii nchi ili mradi tu wapate sapoti kisiasa na c maendeleo ya nchi hii, sasa yule alietupa data za ndege tuliyopigwa aje kutudanganya tena manaake wenyewe wamesharispond.
Kwa hiyo kwa vile waziri kasema unaamini ni kweli? Mara ngapi wanatudanganya baadaye inakuja kugundulika tuhuma ni za kweli?
Kwa kawaida serikali ikituhumiwa kitu chs kwanza wanachofanya ni kukanusha vikali bila hata kufany utafiti. Evidence inapokuja kuwekwa mezani wanaanza kutupiana mpira! Wana uhakika gani kwamba hizo ndege walizoagiza sio hizo terrible teens zinafanyiwa marekebisho yz hapa na pale. Si wznazidismantle tu na kuziassemble upya, na maboya ys huku yakiende yanaoneshwa vipisi hivyo vinakuwacassembled wanaamini ni ndege mpya? Teknolojia ya wenzetu na uwezo wa wa kutu manipulate ni mkubwa sana ndugu zangu. Viumbe hawa wanafikiria kuhamia saysri ya Mars sisi bado hata maji safi yz kunywa ya bomba yametushinda! Nadhani serikalu ichukulievserious hizi tetesi ns ikibidi watafute wataalam wa huko huko wenyw nis njems watukagulie hizo ndege badalz ya kuhsrakisha kukanusha! Hii inanikumbusha ya Chenge na rada!
 
Hapa ndo walipoharibu. Yani mpaka sasa hamjachagua engine? Hii ni sawa na kupeleka mahari kabla ya kuchagua mchumba kwenye familia ya mzee mmoja mwenye mabinti wengi. Haya, ngoja mie niwasaidie kuchagua. Nawachagulia injini za Rolls Royce!
 
Kwa sab haikujadiliwa basi waziri hajahusishwa?
Kama alihusishwa kwa nini sasa aseme anatuma wataalamu wakafanye uchunguzi ya ubora wa hiyo ndege?
Huoni kwamba ameshtuka kwa jambo ambalo hakulifanya na hajui jinsi lilivyofanyika.
Na kama alihusika, alishindwa kuhakikisha kitu anachokinunua kina ubora stahili?. Au ndio akili za kujua kusoma na kuandika ndio zinafanya kazi.
 
Back
Top Bottom