Recent content by Misss Chuga

  1. Misss Chuga

    Sikukuu zinapoteza thamani

    We ndo umepoteza thaman watu tunakula vyuku tu week ya tatu hii
  2. Misss Chuga

    Imekaaje Hii Mzazi kutongoza Mwalimu Anayemfundisha Mtoto wake?

    Yote makosa. Ila kutongoza mwalimu ni kumdhalilisha sana mtoto. Ni sawa kumpa pombe dereva anaekuendesha wakati wa safari.
  3. Misss Chuga

    Alex Massawe abadili dini na kusilimu

    Dini ya kweli ni roho ya mtu mwenyewe.
  4. Misss Chuga

    Naomba mbinu za kumkamata mchawi

    Na kumpata mshirikina anayekuroga je
  5. Misss Chuga

    TTCL Nyumbani Kumenoga mmefia wapi hata vocha zenu hamna tena mtaani?

    Moja ya vitu ambavyo Hayati Magufuli alikuwa anapigania ni kuufanya huu mtandao uwe compitent na mitandao mingine ya mabeberu, hii yote ilikuwa ni kutaka kumsaidia mwananchi. Ila leo hii huu mtandao hata sijui wanafanya nini, wafanyakazi mnakula tu kodi zetu ila hata kusikika tena hamna...
  6. Misss Chuga

    Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Sio nchi ni wananchi hawapo tayari kupambana kwa ajili yao Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
  7. Misss Chuga

    Kikosi cha Timu ya Taifa kufuzu AFCON Chatangazwa

    Sammatta sijui kiwango cha Ihefu kabisa
  8. Misss Chuga

    Mbeya haina hadhi ya Jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Dah una balaa aisee nimecheka
  9. Misss Chuga

    DOKEZO Wafanyakazi Hospitali ya K's - Mbeya wana hali mbaya, Wamiliki nao hawajali na wanawajibu kwa nyodo

    Miezi 10? Sijui kama kweli ila kama ana mkataba aende mahakama ya kazi. Ipo Kanisa la Roma mjini kwa nyuma.
  10. Misss Chuga

    Mama hamtaki Mpenzi wangu

    Fuata huu ushauri kama kweli una akilli. Mzazi ni mzazi aisee huyo sio mke mwenza anakuonea wivu. "Bangi + pombe = hamna familia ya hivo" Mtafute huyo mke wa kwanza ana mengi ya kukushauri. Ila mama ya
  11. Misss Chuga

    Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

    Pole sana wale ambao hawajaoa bado ushauri kabla ya ndoa ufanyie sana kazi utajuta. Wewe mama mzazi alikupa ushauri mweupe sana. Upendo uliooneshwa ni kwaajili ya ndoa ifungwe sio wewe. Watu wakizaa na wewe ukaoa mke huyo anayeshikilia game hapo ni baba wa yule mtoto.
Back
Top Bottom