Alikuwa Katavi juzi,Wananchi wakamletea ndoo zikuwa na maji wanayokunywa,yaani maji yalikuwa yamejaa vidudu vinachezacheza na vyura wadogo[emoji1787]yaani yeye mwenyewe Comredi Chongolo aliona aibu maana hata Ng'ombe wake hawezi kuwapa maji machafu vile wanywe
Wana wa Mungu Habari ya Asubuhi.
Katika kujikwamua na maisha, Dada yenu nimeendelea kupambana na Kilimo cha Mahindi na Nyanya hapa Ilula mkoani Iringa kwa kukodi mashamba kwa Bei rafiki.
Naomba kufahamishwa kwa anayejua Taasisi au Benki zinazotoa mikopo kwa wakulima wadogo wadogo kama mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.