Mimi nawaambia wachafu wote, kuna nyuzi imo humu inauliza eti ni sawa mwanaume kunywa juisi kwa mrija?
Nakemea mambo kama hayo mimi usiseme kama shemeji yako ni mchafu
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"
Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa...
Ningesikia idadi ya vifo ni zaidi ya 50 hapa ningekubari kuwa jamaa alikuwa anafyatua risasi ovyo, ila kwa kuwa mpaka sasa vifo ni vinne tu na majeruhi 6 basi jamaa alikiwa hafyatui risasi ovyo
Harafu jamaa aliacha kushambulia akawa ananyoosha mkono na kujipiga piga kifua mda huo ulikuwa sahihi...
Nakumbuka huyo Dk Shukuru Kawambwa mwaka 2012 matokeo ya NECTA ya CSEE akiwa Waziri wa Elimu, jinsi watahiniwa walivyomchukia
Mpaka wengine wakafikia kumuita Shukuru kawa mbwa (yaani kawa dog)
Ila yote heri kumbe alikuwa bado ni mbuge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.