Recent content by miss_blossom

  1. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watu wanajali maiti zaidi kuliko aliyepo hai. Tatizo ni nini?

    [emoji23] [emoji23] Binadamu ndio nature yetu
  2. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Kaa kimya

    [emoji1635][emoji4]
  3. miss_blossom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kuishi na mpenzi msumbufu?

    Hii ni kero kubwa sana.
  4. miss_blossom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kuishi na mpenzi msumbufu?

    Hata we una vijitabia ambavyo watu wanakuvumilia na ili uishi na watu lazima ujue ku-blend in japo kwa kiasi fulani. Kila mtu anakuwa na malezi aliyopewa huko alikotoka cha muhimu ni kuelezana zile kero za mara kwa mara kwa utulivu atasikia.
  5. miss_blossom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kuishi na mpenzi msumbufu?

    [emoji23]
  6. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nauza viti vya ofisini kwa kila kimoja 80000. Vimetumika mwaka mmoja bado viko imara kabisa. Mawasiliano ni 0653399925 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Wale tunaovaa Barakoa tupeane experience jinsi ya Kuvaa, mwenzenu inaniletea matatizo

    Unaumwa kichwa sababu zile kama za barakoa unazikaza sana. Na kizunguzungu pamoja na macho kutoona vizuri unapata sababu ya maumivu ya kichwa. So jaribu kuregeza hizo kamba zisikubane sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya maswali ambayo siyo busara kuuliza ovyo ovyo?

    Sasa utazaa lini? Hivi ulisoma wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  10. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Kesho ni tarehe 17 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Mungu akusaidie kwa kweli maana hali ni mbaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. miss_blossom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sawa umempenda singo maza, lakini wazazi wako watafurahia wajukuu wakambo?

    Anayeoa ni wewe au wazazi wako? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

    We ni muongo. Huko juu umesema umeachwa ndio unapoteza mawazo tena imekuwaje mnashindana na mpenzi wako? [emoji15] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. miss_blossom

    JamiiForums Tanzania Mie mgeni jamani humu naomba mnipokee

    [emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom