Recent content by Miss zinu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Dida

    kazaa na mchopanga (mchops) alikuwa anajiitaga dida wa mchops.
  2. M

    JamiiForums Tanzania SUMA G jamani yuko wapi mwenye ufahamu atujuze!

    hahahahaaa mbavu zangu. eti kende ingekuwa album ingeuza sana mombasa jamaniiii.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na hili, please

    paylow, payraw!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anatafuta kazi

    pole dada endelea kumpa mapenzi ya dhati, Mungu atampa wepesi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

    thanx God! ww ndio kimbilio langu lililobaki. kuitwa nako ni bahati mojawapo cjui huko mbele itakuwaje! sema Mungu ndo mpangaji wa yote.
  6. M

    JamiiForums Tanzania wapi tunakosea? turekebishe vipi?

    aiseee! mada nzuri, na watu wanachangia vizuri mpaka raha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kuvunja mahusiano na mpenzi ambaye umemchoka ni ipi?

    sio vizuri kwa kwel! amekukosea nini? miaka miwili yote sasa hivi ndo unataka kusema sio chaguo lako, eti yupo unaempenda kwa dhati! mm huwa napenda m2 anayesema mapema kabla muda haujapotea! ndani ya miezi sita unaweza ukapima kwamba huyu m2 ananifaa au hanifai? wa2 huwa hawaogopi kuachwa ila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania greetings

    hi jf members! im new.. a.k.a njuka.
Back
Top Bottom