Recent content by Miss trinity

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kumspy mtu katika cm yake???

    Anayeweza kunisaidia jinsi ya kuweka application ya spy call katik cm ya uliyemkusudia msaada please
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mimi nipo kwenye hatua nimetafuta mitetea 20 na majogoo 3.Mungu anisaidie
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda "kuvunjwa miguu" imekua changamoto kwenye familia yetu

    Hahaaaaaaa hahaaaaaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bashe aungana na Zitto juu ya mdororo na taarifa ya hali mbaya ya nchi. Uchumi unakuwa kwa 5.9% mabenki hoi

    Yaani I wish angehamia chadema coz yupo vizuri sana mh.bashe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kibiashara na namna ya kuweza kuinuka tena

    Nimekuelewa nitafanya hivyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kibiashara na namna ya kuweza kuinuka tena

    Ndiyo hiyo m 5
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kibiashara na namna ya kuweza kuinuka tena

    Asante sana ntaufanyia kazi ushauri wako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kibiashara na namna ya kuweza kuinuka tena

    nilikuwa nae but ndiye aliyenifikisha hapa nilipo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kibiashara na namna ya kuweza kuinuka tena

    Hii JF, Naombeni msaada wenu, Nimeshindwa kulinda biashara yangu kutokana na kuugua hapo awali, nilikuwa na Duka lenye thamani ya sh.ml.5 nilikuwa nauza vinywaji baridi, biscuits, juice, bites, cake and luxury items. Nilikuwa nafanya biashara vizuri kabisa coz bites nyingi ni kazi ya mikono...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya biashara ya hotel

    Nimekuelewa kaka ntazingatia hilo..asante kwa ushauri wako..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya biashara ya hotel

    Asante sana ndg nimepokea mawazo yako na naanza kuyafanyia kazi soon
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

    Unaweza kuanza but kma tayari una Shemu hiyo hela isiinhie kwenye jengo,mapato TRA wala TFDA. Iwe ya mzigo tu hapo unaweza .inalipa kwenye Shemu yenye mzunguko wa biashara na uuze bites and soft drinks kwanza ikijizungusha faster unaanza kuongeza bidhaaa usikate tamaa mapema ni kubwa San hy hela...
Back
Top Bottom