Hivi inawezekanaje mtu uzae mtoto umlee mpaka miezi minne halafu umtupe kweli? hata ile huruma tu kwamba mtoto huyu amenizoea, nitamkumbuka, cjui nani atamuokota, kweli mtu unakuwa hauna? nimeamini kweli tumeumbwa tofauti...mtoto huyu mzuri unayemuona ametupwa maeneo ya bamaga mwenge, kwa nini...