Jamanni nimerudi tena na matatizo yangu,,hili janaume linataka roho yangu sasa, coz anafika mbali mpaka wageni na ndugu zangu sasa anawatongoza..me nimefika mwisho, nishaurini tena,, nafikiria kuachana nae lakini nitaanzia wapi maisha na ukiangalia nasimamia biashara zetu . lakini sasa natafuta...