Recent content by Miss liquid

  1. Miss liquid

    Natafuta Scholarship

    Acha kujifanya mjuaji ungeacha kama haikuhusu, bas unajikuta bonge la mjanja sepa kule,
  2. Miss liquid

    Natafuta Scholarship

    Hello, niliomba nafas ya kusoma masters katika chuo fulani apa Tanzania, nimebahatika kupata nafasi Swali langu ni Je naweza kuomba sponsership kwenye shirika lolote au ni lazima kusubir zile zinazotangazwa na chuo husika?? Wasiwasi wangu ni je ukisubir alafu ukakosa?? Si nitakua nepoteza nafas...
  3. Miss liquid

    Mpenzi aliye "busy" siku zote

    Utasubiri sana Wakeup lady Unaonekana king'ang'anizi sana AMeshakusoma tena kama hamna mda mrefu anaona ajitoe mapema Mi niliaga na mtu kama hyo Nkaamua kumblock kona zite ili ata akinimis asipate pakunipata Tokea last year january, huwez amin juz ndo nimekuta text yake tena kwa namba mpya...
  4. Miss liquid

    Kalemani apinga mkoa wa Geita kuwa Masikini, aomba Takwimu zirudiwe

    Hata ingezalisha nyoka bado Nenda kasome upya
  5. Miss liquid

    Afisa Kilimo anapatikana

    Wew umewahi kufanya hivo mara ngapi?? Acha kujibu kama vile umeshafika Ubinadamu zero
  6. Miss liquid

    Afisa Kilimo anapatikana

    Tangulia atakuja
  7. Miss liquid

    Afisa Kilimo anapatikana

    Unataka ashinde wap achen kujifanya wajuaji kama unaona huna msaada funga mdomo wako, na usitype hapa Mnakera, yan ninyi ni wale msiopitwa na jambo, ata kmaa huna la kusrma anafanya useme tu Wew kam umefanikiwa kwa chochote mshukuru Mungu Acha kuongea kama hujapitia shida wew Yan umenikera mnooo...
  8. Miss liquid

    Nimehitimu diploma ya utunzaji wa kumbukumbu ila kwa sasa sina kazi ila nipo tayari kufanya kazi yoyote

    Acha kukatisha watu tamaa, i got a job kupitia hili jukwaa la jf Usikate tamaa, omba Mungu , ombea tangazo lako utapata tuu God is always good Amen.
  9. Miss liquid

    Afisa Kilimo anapatikana

    Habari wana Jf Afisa kilimo mwenye elimu level ya Diploma, course ya General agriculture na mwenye uzoefu wa mwaka mmoja katika kaz anatfuta nafasi ya kazi kwa kampuni binafsi zenye uhitaji wa mtu wa taaluma hyo Kwa mwenye uhitaji plz Pm Asanteni. Napatikana Dar es salaam.
  10. Miss liquid

    Conserve the Environment- reduce poverty

    A lot of people think that poverty can be reduced or eradicated by so much investment in agriculture and other economic sectors, But they forget that Environmental degradation is one big factor leading to poverty in most third world countries If we degrade the environment, the environmental...
Back
Top Bottom