Nimehitimu diploma ya utunzaji wa kumbukumbu ila kwa sasa sina kazi ila nipo tayari kufanya kazi yoyote

Flex J

Flex J

Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
32
Points
95
Flex J

Flex J

Member
Joined Jul 25, 2018
32 95
Heshima kwenu wana jamii forum Mimi ni kijana wa umri miaka 24 nimehitimu diploma ya utunzaji wa kumbukumbu ila kwa sasa sina kazi ila nipo tayari kufanya kazi yoyote maana kukaa bila kazi na umri unaenda lengo langu nipate kazi yoyote ili niweze kupata anagalau mtaji niweze kuanza kupambana kama mtoto wa kiume maana ajira kwa sasa ni ngumu na pia nahisi mpaka uwe na system huko juu maana nilishawai kufanya usaili halmashaur na kufanikiwa kupita nikasaini na mkataba lakini nafasi alipewa mtu mwingine nimefuatilia mpaka nimekata tamaa nimebaki na karatasi ya ruhusa mkononi hivyo naona ni muda wa kupambana ili nipate angalau mtaji ili nipambane. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu pia ushauri wenu ni muhimu zaidi maana siku zote ushauri ndo umfanya mtu akili itanuke.
 
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
105
Points
225
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined Nov 21, 2013
105 225

Kama uko Dar nitafute kwa kuniPm kisha tuyajenge!
 
Tarakwa

Tarakwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2017
Messages
235
Points
250
Tarakwa

Tarakwa

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2017
235 250
Heshima kwenu wana jamii forum Mimi ni kijana wa umri miaka 24 nimehitimu diploma ya utunzaji wa kumbukumbu ila kwa sasa sina kazi ila nipo tayari kufanya kazi yoyote maana kukaa bila kazi na umri unaenda lengo langu nipate kazi yoyote ili niweze kupata anagalau mtaji niweze kuanza kupambana kama mtoto wa kiume maana ajira kwa sasa ni ngumu na pia nahisi mpaka uwe na system huko juu maana nilishawai kufanya usaili halmashaur na kufanikiwa kupita nikasaini na mkataba lakini nafasi alipewa mtu mwingine nimefuatilia mpaka nimekata tamaa nimebaki na karatasi ya ruhusa mkononi hivyo naona ni muda wa kupambana ili nipate angalau mtaji ili nipambane. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu pia ushauri wenu ni muhimu zaidi maana siku zote ushauri ndo umfanya mtu akili itanuke.
Kazi yeyote siyo?! Mkuu unaweza kulisha ng'ombe na nguruwe?! Kama unaweza njoo PM chap
 
H sanny

H sanny

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Messages
150
Points
250
H sanny

H sanny

Senior Member
Joined May 25, 2018
150 250
Kazi haitafutwi jamii forum ndugu yang, labda upewe ushauri tuh!
Endapo kam unania na kutafuta kazi jaribu kutembea.
Ila nawasiwasi na diploma yako!?
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
663
Points
1,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
663 1,000

Kwani kazi zinapatikana wapi mkuu?
We hujui kwamba Kuna watu wamepata kazi kupitia mitandaoni ikiwemo jamii forum?Au ulitaka aombe kazi kizamani kwenda kupiga hodi magetini kwa watu!
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
4,377
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
4,377 2,000
unataka ufanye biashara gani
 
S

STILL BELIEVE

Member
Joined
Aug 1, 2014
Messages
7
Points
45
S

STILL BELIEVE

Member
Joined Aug 1, 2014
7 45
Kazi haitafutwi jamii forum ndugu yang, labda upewe ushauri tuh!
Endapo kam unania na kutafuta kazi jaribu kutembea.
Ila nawasiwasi na diploma yako!?
Mi kazi yangu ya pili nilipata humuhumu jamii forum.Kuna mtu alipost kuna kampuni ilikua inatafuta mhasibu msaidizi aliweka tu namba. Nikaipiga ile namba nikapewa maelekezo kampuni ilipo nikaenda na vyeti vyangu nikafanyiwa interview nikapata kazi.
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
663
Points
1,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
663 1,000
Mi kazi yangu ya pili nilipata humuhumu jamii forum.Kuna mtu alipost kuna kampuni ilikua inatafuta mhasibu msaidizi aliweka tu namba. Nikaipiga ile namba nikapewa maelekezo kampuni ilipo nikaenda na vyeti vyangu nikafanyiwa interview nikapata kazi.
Mwambie huyo mkoloni amekariri
 
Miss liquid

Miss liquid

Member
Joined
Apr 25, 2019
Messages
19
Points
45
Miss liquid

Miss liquid

Member
Joined Apr 25, 2019
19 45
Kazi haitafutwi jamii forum ndugu yang, labda upewe ushauri tuh!
Endapo kam unania na kutafuta kazi jaribu kutembea.
Ila nawasiwasi na diploma yako!?
Acha kukatisha watu tamaa, i got a job kupitia hili jukwaa la jf

Usikate tamaa, omba Mungu , ombea tangazo lako utapata tuu God is always good
Amen.
 
Flex J

Flex J

Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
32
Points
95
Flex J

Flex J

Member
Joined Jul 25, 2018
32 95
unataka ufanye biashara gani
Biashara yoyote yenye kuweza kuniingizia kipato mfano kuleta nafaka toka mikoani kuja dar es salaam au kwa mkoa wowote wenye fursa za kibiashara naweza kwenda kufanya sio lazima nibaki dar es salaam
 
Forum statistics

Threads 1,296,167
Members 498,559
Posts 31,237,004
Top