Recent content by Miss iyna powers

  1. Miss iyna powers

    Tujikumbushe wahadhiri wababe na kauli zao za kukatisha tamaa

    Samahan hujaelewa ila haya ni maneno ya lecturer mmoja km mada inavosema
  2. Miss iyna powers

    Burudani ya watanzania unapowauliza asili zao

    Na Mimi asili yangu ni middle east [emoji205]
  3. Miss iyna powers

    Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

    Ckujua miguu imeendeleaje kwasabbu anaish mbali na mm kwa sasa
  4. Miss iyna powers

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Ukipitia comments zake unagundua kua hakuna uhalisia na alichokiomba
  5. Miss iyna powers

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Nampenda Mungu klko tu kwaio dini ndio muongozo wangu wa maisha na haitotokea kupelkeshwa na mtu kuhusu pili si sahihi kutoka RC kwenda uislam km wewe mwenyew haupo radhi na hilo kwasabbu kwenye imani mtu halazmishiwi ni hiar tu
  6. Miss iyna powers

    Bei ya mchele haikamatiki mtaani inakaribia 3,000

    [emoji23] [emoji23] I have an idea tupikeni ule wa vitumbua hadi ushuke bei ila mjini hatuhami
  7. Miss iyna powers

    Bei ya mchele haikamatiki mtaani inakaribia 3,000

    Sisi geton kwetu tupo watano tunapika nusu na robo na naiona cost inaniuma titakula sembe hadi ushuke bei
  8. Miss iyna powers

    Bei ya mchele haikamatiki mtaani inakaribia 3,000

    Kwetu hadi juzi ni 2500 nashindwa kula ubwabwa kwa kweli
  9. Miss iyna powers

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    In Islam ninavojua mm ni kharaaaam kumuingilia mtu kinyume na maumbile na hata Kama ni mke basi unarhusiwa kuondoka ukarudi kwenu ukatulia kaumu Lut waligharikishwa kwa sababu ya kulawitiana sasa hiyo no.4 ndo kwanza naickia Leo no.1 kiuhalisia talaka Mungu anaichukia ni ruhusa kuacha if...
  10. Miss iyna powers

    Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Ndoa huandikwa na Mungu na alipangalo yeye hakika wa kulipangua hayupo km ana kheri naww hakika atakuoa mtu mzima ana maamuzi yake amueni nyinyi wawili
  11. Miss iyna powers

    Maumivu ya Korodani/pumbu, kuvimba kwake na ushauri wa matibabu

    kashimir Mussa, Kapime hernia haraka sana ucje kuleta matatizo my father alikua na matatizo ya mkojo akafanyiwa operation after that akawa na tatizo la hernia homa Kali kweli kweli akataka kufanyiwa operation ila damu ilkua chache mwilin na nzito akapangiwa next week kurudi he passed away...
  12. Miss iyna powers

    Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

    Nilikutana na dogo amemaliza form 4 kaletwa dar kusoma kakutana na marafiki chuo akapata dawa ya kunenepesha miguu kila cku ucku anajipaka akilala ckutaka kuingilia nikaubana
  13. Miss iyna powers

    Nilichojifunza, usikopeshe pesa rafiki au usimkopee rafiki

    Yeye alinikopesha kwa mbinde mana kwenye familia sio wote wanakua na imani sawa aliona ntachkulia tu ndugu sitolipa ila nimemlipa bila ugomvi na uezo wa kunigaia tu anao au kumlipa nusu nusu ila kwa vile tulikubaliana kukopeshana sikutaka kuvunja amri najua Sina pakwenda siku ya pili nikipata...
Back
Top Bottom