Recent content by Miss Grace

  1. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA VITENGE

    Hello MALIMI MESHACK njoo dm nikupe namba ya mtaalamu wa hvyo vitenge anauza aina zote yupo dar
  2. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania James Delicious amlilia Mungu. Adai hana raha ya maisha kufuatia agizo la waziri

    Daaaaaah..... Tuna kazi sana
  3. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kujiunga na CRDB gharama jee?

    Nenda kwenye tawi la CRDB kufungua ni bure ingawa kuna pesa unatakiwa ku deposit kwa siku ya kwanza.
  4. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Majaki batiki fashion

    Jumla unauzaje??? Ni mita ngapi???
  5. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kutunza akiba

    Tunza faida.... Baada ya kutoa cost zote kinachobaki peleka benki.
  6. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ni Makamu wa Rais wa Kwanza wa Kike

    Mmmh
  7. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Anahutubia kawe sehemu gani???
  8. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

    OK..... Nmewapigia hao selcom wanasema unaweka kwenye airtelmoney, mbona airtel money nna balance kubwa tu SALOK
  9. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

    Hyo 510 ndo kitu gani coz kwangu inasomeka zero 0 SALOK
  10. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

    Nmeweza aiseeee.....ila bado vitu vidogodogo
  11. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

    Naomba unielekeze hilo swala SALOK
  12. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mh Mzee Sitta na maswali kadhaa

    Huyo lemutuz anaongea hayo kama nani??afuate kilichompeleka msiban na si vinginevyo
  13. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Vocal za hatari..... Kiba noma
  14. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Gigy money roho kwatu huko alipo
  15. Miss Grace

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Kwani kesi???? Umeniquote that's y nmekuquote back.Niulize nn?? Unataka ligi la diamond na Kiba.Nikalale mie
Back
Top Bottom