anjnr
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 539
- 208
Naomba msaada kwa wachumi na Wajasiriamali mliopo humu ndani. Ninapanga kuwa naweka akiba kidogo kidogo benki kutokana na kipato kidogo nachokipata kwenye biashara yangu ndogo.
Plan yangu ni ku-save 30% ya mauzo yangu ya kila siku. Kinachonitatiza hapa ni je hiyo asilimia 30 naikokotoa kutoka mauzo halisi mfano nikipata 40,000 kwa siku au baada ya kutoa matumizi ya kawaida.
Mfano lunch kwa muuzaji na cost nyingine ndogo ndogo ndipo nikokotoe 30% (yaani kinachobaki baada ya kutoa matumizi)?
Msaada tafadhali.