Happy nation, jamani lile gari siti ndefu ukikaa huwezi kunyoosha miguu kabisa, alafu bovu ,linanyata , Dar to Mbeya tulifika saa tano usiku, Ila Rungwe ndo balaa, Dar to mbeya tulifika saa sita usiku.
Habari watu wa JF
Mimi ni msichana 23yrs sikuwahi kuingia kwenye mahusiano, ila 2019 nilianza mahusiano na kijana fulani yeye ni 31 yrs, ni mwanaume wa kwanza kwangu alinipenda sana na mimi nilimpenda pia, but nilichogundua mimi ndiye nilimpenda sana kuliko yeye.
Ilifika mahali...
Hamna usiseme hivyo, utakuta yeye pesa zake anamalizia kwa makahaba na michepuko yake nje, akipata shida ndo anakumbuka kuna mke, wanawake wanavumilia mengi sana kwenye hizi ndoa jaman, msiangalie upande mmoja tu watu wanaishi kwa maumivu kwa kigezo cha ndoa.
Tatizo jingine wanaume wanajivunia usaliti, kuwa na michepuko nje ya ndoa wanaona ni ujanja kwao na urijali, wanasahau wake zao ni binadamu na wanamaumivu pia sana.sometimes mchepuko ukimkoleza vizuri anaanza dharau, kuchelewa kurudi nyumbani na vituko mbalimbali kwa mke wake.
Iko hivi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.