Ila huu uzi unaukweli asilimia 100 [emoji28][emoji28] wanawake tunapenda attention sana tu, yaan umejikwatua vizuri kabisa na ukajianfalia kwenye kioo mara mbilimbili alafu unapita njiani wanaume kama hawakuoni vile.. lazima ukirudi nyumbani ujiulize hivi nilikosea wapi? [emoji28] wadada...
Mkuu kila mmoja ana sababu zake za kumpeleka mtoto boarding, wengine inabidi iwe hivyo kutokana na sababu zilizonje ya uwezo wao, suala la watoto kuingiliwa lipo kila mahali, tena huko majumbani ndio balaa zaidi maana hufanyiwa na ndugu wa karibu kabisa, tuwaombee tu watoto wetu wawe salama.
Dah! Pole sana Mkuu jitahidi uwasamehe tu ili na ww upate amani ya moyo. Haya mambo ya a athari kubwa sana katika maisha, imagine mpaka unafurahia adui yako kufariki this is way too much, unahitaji kuachia ili uwe huru Mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.