Recent content by MISS CDM

  1. MISS CDM

    Miss World 2013 ni leo........Bali, Indonesia........

    Kashinda Mfilipino.....Phillipines
  2. MISS CDM

    Unakumbuka MAJAMBO kiboko ya Vikojozi mtaani?

    Majambo alikua anakatiza mitaa yooote na manyoya yake nakumbuka nlikua namuogopa lakini nlikua nataka nimuone anavyocheza kwa hiyo sikai mbali na baba maana nlikua nina imani hawezi kunidhuru kama niko benet na baba , basi ukinunua karanga anachezaaa na kuimba lol!
  3. MISS CDM

    Why did i get married??

    Hivi jamani huu unaoitwa UVUMILIVU huwa una mwisho au hauna? Na ukifika mwisho unabadilika jina na kuitwa nini?
  4. MISS CDM

    Amemfumania mchumba wake aki cheat, afanye nini?

    Tukumbuke kwamba WANAWAKE WAKO WENGI SANA LAKINI SIO WOTE WANAOFAA KUITWA "MKE WA MTU"....alichokifanya huyo kaka ni tamaa tu za mwili wake zilimshinda kujizuia akajikuta kamtamani huyo dada....lakini pia tukirudi upande wa dada( mchumba) je kaka alipokuwa anataka " vituz" ulimpa bila tatizo...
  5. MISS CDM

    Simuamini tena mke wangu!

    Lol! Hii kiboko!!?
  6. MISS CDM

    Samaki Samaki Mbezi Beach inaungua

    Inasemekana huo moto ulizuka baada ya kijiko kinachobomoa kugusa waya wa umeme hapo cheche zikatoka ndipo zikagusa paa la makuti la hiyo samaki samaki bar, moto ulizimika baada ya gari la zimamoto kuwasili....poleni sana
  7. MISS CDM

    TAHLISO yamuumbua January Makamba, yadai ni wanavyuo feki waliandaliwa, urais wamtesa

    Mh. J Makamba njoo TTCL utusaidie tupate mishahara yetu stahiki....mikataba yetu ya kazi haieleweki yaani tunapelekwa tuuu....nimetoka nje ya mada nisamehewe bure.
  8. MISS CDM

    Mtoto apigwa na kulishwa Mavi na baba yake mzazi huko Mara

    Huyo hana haki ya kuitwa baba mzazi bali ni muuaji...mi ndo maana nasema watoto chini ya miaka 15 wakae na mama au bibi zao.
  9. MISS CDM

    Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US

    Wanajamvi hii imenishtua na kunisikitisha sana, kwanini hatuna woga?? Huyu alificha kwenye laptop akajiamini anaitwa Joseph Makubi pata habari hapa Tanzanian admits to smuggling heroin inside laptop - San Jose Mercury News
  10. MISS CDM

    Mwanamke achoma moto range rover sport ya boyfriend wake kisa wivu

    Na pesa ikiongezeka kidogo basi dharau kwa wake zao ndo kwa sanaaa... Hata mie huwa sijui ni ushamba au wanataka waonekane nao wanajua kutumia pesa!!?? Mie huwa nadhani wanafikiri ukiwa na pesa kiduchu na ukaitumia kuwa na wanawake ndo ujanja wa mujini..... Badala wakae na wake zao wanyooshe...
  11. MISS CDM

    Any genius online ... ??

    (1+1) *(1+1).....4 (2+2) *(2+2)......16 (3+3)*(3+3)......36 Hapo vp?
  12. MISS CDM

    Vitu viovu sana avifanyavyo mwanamke kwa mwanaume

    Unaesema mwanamke anakudekea Umenishangaza....sasa akamdekee nani? Kudeka ndo moja ya chachandu za mapenzi mzee....mdekeze kabla hajapata wa kumdekeza ....atapeperuka ohoooo!!!
  13. MISS CDM

    Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

    "Waja leo waondoka leo"....full customer care....chezea Tanga weye....je umeoa? Angalia usijemsahau mkeo....
  14. MISS CDM

    Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

    Kwa akina dada wanaopenda chupi za victoria secrets basi tuwasiliane...PM
Back
Top Bottom