Recent content by miskibosho

  1. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Shukran ndugu yangu, nitakutafuta unisaidie mawili matatu nikishafanikisha mtaji! Barikiwa
  2. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Naomba kuuliza kwa mnaofanya hii biashara, minimum mtaji ni kama sh ngapi? Je kwa mwanamke anaweza kuifanya? Au inafaa kwa wanaume tu kwa kuwa wengi ni mashabiki wa mpira? Naomba msaada
  3. miskibosho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Askofu Gwaj ashukuru sana huu msiba na Hii Ramadhani

    Naomba unitumie mkuu
  4. miskibosho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KINACHONIUMA NI SADAKA ZETU ....

    Naomba na mimi unitumie pm plz
  5. miskibosho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Askofu Gwaj ashukuru sana huu msiba na Hii Ramadhani

    Mwenyewe ndo naiomba mkuu
  6. miskibosho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba Askofu Gwaj ashukuru sana huu msiba na Hii Ramadhani

    Naomba unitumie plz! Kama unayo
  7. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

    Oversees! Kuna simu inatengenezewa africa?
  8. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako

    Oppo! Mbona sijaona anayetumia hii simu? Wengi samsung na tecno
  9. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Hodiiii

    Hahahaaa hamjamaliza tu? Hamuoni nje kuna mvua?
  10. miskibosho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumpiga mchumba

    Mbona kama stori haijaisha? Kuna kitu hakipo vizuri moyoni kwamba umejikuta unampenda zaidi au upendo umepungua?
  11. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Nimejiunga JamiiForums

    Karibu mgeni
  12. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Hodiiii

    Thanks
  13. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Hodiiii

    Simfahamu
  14. miskibosho

    JamiiForums Tanzania Nimeitafuta sana hii hali kwa Mzungu mpaka leo siijaiona ila kwa Mwafrika Mtanzania nakutana nayo kila baada ya Sekunde na Dakika

    Watu wanasoma kwa shida! Kwa hiyo wakipata nafasi ya kujisifia wanajisifia haswaaa! Unafikiri kusoma mchezoeeee
  15. miskibosho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unampiga Matukio Demu wako mpaka anasepa mwenyewe

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom