KINACHONIUMA NI SADAKA ZETU ....

KINACHONIUMA NI SADAKA ZETU ....

Sadaka ni makaratasi tu mimi kinachoniuma mtoto mzuri namna hii anacharazwa kwa dakika moja na sekunde chache kama sungura ni aibu kwa morani kwa kweli.
 
Mkuu kama huna connection hapa mjini hufanikiwi Tanzania hii hata hiyo video kuipata inahitaji uwe na connection ndipo tulipofikia
Ahahahaha.
Nimebaki kucheka tu.
Niliwaambia madogo fulani kuwa bongo ukiona tanfazo la nafasi za kazi kwenye nguzo za umeme ujue ni matapeli au hiyo kazi haina maslahi.
Kila chenye maslahi hufanywa kwa kujuana na kwa siri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom